Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kila wakilala na kuamka kazi yao ni kuweka vikwazo vya kijinga ili vyama vingine visiweke mgombea Urais. Hadi haieleweki wanataka nini??CCM wamefanya siasa peke yao kwa miaka mitano na bado wanaogopa uchaguzi. Uchaguzi ni haki yetu kikatiba.
A sound of a desperationKila wakilala na kuamka kazi yao ni kuweka vikwazo vya kijinga ili vyama vingine visiweke mgombea Urais. Hadi haieleweki wanataka nini??
Kwanza kipimo cha "Kufanya vizuri" kwa Magufuli anacho nani. Lakini pia hata kama Mchungaji Msigwa atapata kura mbili, haki ya hao watu wawili wanaotaka kumpigia Msigwa kura inaondolewa kwa misingi ipi?Sasa kama Dr Magufuli atashindanishwa na mchungaji Msigwa wa Chadema hiyo ni sawa na kupita bila kupingwa.....kwanini tuwapangishe watu foleni ya kupiga kura?
Uchaguzi wa wabunge lazima uwepo kwa sababu hata wabunge wa CCM wengi hawajafanya vizuri majimboni!
Mchungaji Msigwa kihesa pamemshinda ndio apewe nchi..... Tusiwachoshe wapiga kura jamani!Kwanza kipimo cha "Kufanya vizuri" kwa Magufuli anacho nani. Lakini pia hata kama Mchungaji Msigwa atapata kura mbili, haki ya hao watu wawili wanaotaka kumpigia Msigwa kura inaondolewa kwa misingi ipi?
Tuwaze huku tukitanguliza mbele mantiki na kuweka pembeni utashi wetu unaoendekeza mapenzi ya kijinga kwa siasa za nchi yetu.
Rudi kwenye hoja. Iwe Kihesa au Mshindo hoja hapa ni mantiki gani mnatumia kutaka Magufuli asipingwe!!??Mchungaji Msigwa kihesa pamemshinda ndio apewe nchi..... Tusiwachoshe wapiga kura jamani!
Wananchi wakiamua apite bila kupingwa atapita na NEC itamtangaza hakuna wa kumzuia.Rudi kwenye hoja. Iwe Kihesa au Mshindo hoja hapa ni mantiki gani mnatumia kutaka Magufuli asipingwe!!??
Hao "wananchi" wanaamua kupitia utaratibu upi? Na kuna tofauti gani kati ya wananchi na vyama vya siasa maana naona kama umetenganisha. Jee CHADEMA siyo chama cha siasa na hakina wananch ndani mwake?Wananchi wakiamua apite bila kupingwa atapita na NEC itamtangaza hakuna wa kumzuia.
Hadi sasa vyama vya siasa vinne vimeshamuunga mkono!
Mzee wa kupita bila kupingwa Chadema inamuumiza kichwaWananchi wakiamua apite bila kupingwa atapita na NEC itamtangaza hakuna wa kumzuia.
Hadi sasa vyama vya siasa vinne vimeshamuunga mkono!
Chadema ilishaamua muda mrefu kumuunga mkono Rais Magufuli na imetoa mawaziri wawili kwenye serikali Mwita Waitara na Dr Mollel.Hao "wananchi" wanaamua kupitia utaratibu upi? Na kuna tofauti gani kati ya wananchi na vyama vya siasa maana naona kama umetenganisha. Jee CHADEMA siyo chama cha siasa na hakina wananch ndani mwake?
Anayetuumiza kichwa ni wakili msomi Hashimu Spunta Rungwe wa Chaumma pekee...... Hawa akina Chadema, ACT wazalendo, Cuf, Nccr nk kazi tulishamaliza kitambo!Mzee wa kupita bila kupingwa Chadema inamuumiza kichwa
Kuna Yule ambae akifungua mdomo lazima mvae pamper kuzuia visivyotakiwa kutoka muda huo.Anayetuumiza kichwa ni wakili msomi Hashimu Spunta Rungwe wa Chaumma pekee...... Hawa akina Chadema, ACT wazalendo, Cuf, Nccr nk kazi tulishamaliza kitambo!
Nimekwambia hakuna zaidi ya Rungwe huko upinzani.Kuna Yule ambae akifungua mdomo lazima mvae pamper kuzuia visivyotakiwa kutoka muda huo.
Time will tellNimekwambia hakuna zaidi ya Rungwe huko upinzani.
Au unazungumzia wakimbizi?