johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Endelea kukariri!Time will tell
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kukariri!Time will tell
Bwashee leo umekula nini?Sasa kama Dr Magufuli atashindanishwa na mchungaji Msigwa wa Chadema hiyo ni sawa na kupita bila kupingwa.....kwanini tuwapangishe watu foleni ya kupiga kura?
Uchaguzi wa wabunge lazima uwepo kwa sababu hata wabunge wa CCM wengi hawajafanya vizuri majimboni!
"System" ya kutawala nchi inatengenezwa na vyama vya siasa. Kivipi??Upinzani wa nchi yetu bado sana hawajatengeneza system imara ya kiutawala ambayo itafaa kuongoza nchi...hivyo namuona JPM akirudi tena ikulu kwa mara ya pili...
Mchungaji gani muongo? Anasema yupo karantini Dodoma kumbe yupo Dar. Anasema Kinana jangili alafu anasema alikuwa anamsingizia. Huyu hata ubunge hafai tena.Mchungaji Msigwa kihesa pamemshinda ndio apewe nchi..... Tusiwachoshe wapiga kura jamani!
Wengi wa wanaccm ni misukule,hawajitambui.Mie akili za baadhi ya wana ccm au tlp sitaki kabisa kuzijadili badala ya kuwaonea huruma!
Mwenzio jiwe anamheshimu na Msigwa ana uraia Wa chato wewe JOHN BURE hata Getini kwa huyo ASAS wako huwezi kaaSasa kama Dr Magufuli atashindanishwa na mchungaji Msigwa wa Chadema hiyo ni sawa na kupita bila kupingwa.....kwanini tuwapangishe watu foleni ya kupiga kura?
Uchaguzi wa wabunge lazima uwepo kwa sababu hata wabunge wa CCM wengi hawajafanya vizuri majimboni!
Kumpiga au kutompinga Magufuli ni maneno ya wafuasi wake ni Kama wafuasi wa Mbowe wasivyotaka na wote Wana sababu zao lakini hakuna kauli yoyote ya kimamlaka inliyotolewa kutoka msemaji wa serikali ikisema Magufuli asipingwe. Haya maneno yanasambazwa na watu Kama wewe uliyeleta hii thread hapa. Nikuulize umewahi msikia Mbowe au Magufuli wakisema hawataki kupingwa? Ni wewe ndo unayesema na mashabiki wao Wana comment wanavyofikiri na hawawashirikishi hao viongozi.Rudi kwenye hoja. Iwe Kihesa au Mshindo hoja hapa ni mantiki gani mnatumia kutaka Magufuli asipingwe!!??
Uchaguzi upo pale pale na Magufuli alishasema. Sasa nyie chadema mnasikilza mitandaoni? Wekeni mgombea kwani Nani kawakataza? Au tangazo la mnyika lilikua la Nini? Hamjiamini?Hao "wananchi" wanaamua kupitia utaratibu upi? Na kuna tofauti gani kati ya wananchi na vyama vya siasa maana naona kama umetenganisha. Jee CHADEMA siyo chama cha siasa na hakina wananch ndani mwake?
Kati ya watu ambao Nazi imeliwa na mwezi mwaka huu ni wewe. Tangu mwaka uanze penati unapigia ugoko. Ni wewe uliyeleta thread mbili kuhusu ubora wa Msigwa, Leo unafanya U-turn eti Kihesa pamemshinda, Kongwa pefanyika nini, Namanyere Nkasi kuna nini? Kisesa Magu kumefsnyika nini? Pale Igawilo Tabora kunani?Mchungaji Msigwa kihesa pamemshinda ndio apewe nchi..... Tusiwachoshe wapiga kura jamani!
Kura halali na haki ni kigezo muhimu cha kupima kazi Nzuri aliyoifanya kiongozi. Naunga mkono hoja yako.Kwanza kipimo cha "Kufanya vizuri" kwa Magufuli anacho nani. Lakini pia hata kama Mchungaji Msigwa atapata kura mbili, haki ya hao watu wawili wanaotaka kumpigia Msigwa kura inaondolewa kwa misingi ipi?
Tuwaze huku tukitanguliza mbele mantiki na kuweka pembeni utashi wetu unaoendekeza mapenzi ya kijinga kwa siasa za nchi yetu.
Kuna mtu hapo unamuogopa kumtaja, huyo mtambo wa atomic, ccm mpaka sasa wameshakaa vikao visipopungua 1000 tangu ametangaza nia ya kugombea, siku ile ametangaza tu nia wakaibuka na kesi ya mwaka 2016 hii inaonesha ni kwa kiasi gani wamepagawa. Hawana mwanasiasa wao wana field marshal.Sasa kama Dr Magufuli atashindanishwa na mchungaji Msigwa wa Chadema hiyo ni sawa na kupita bila kupingwa.....kwanini tuwapangishe watu foleni ya kupiga kura?
Uchaguzi wa wabunge lazima uwepo kwa sababu hata wabunge wa CCM wengi hawajafanya vizuri majimboni!