Uchaguzi 2020 Kusitishwa kwa usafiri wa boti Zanzibar na Bara siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 28

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Ndugu na jamaa wanaotarajiwa kufanya safari ya kuja Zanzibar au kwenda Bara mnapaswa kufanya safari zenu mapema kabla ya wiki ijayo ya tarehe 28.

Mkumbuke siku hiyo hakutakuwa na chombo kitakachobeba raia kutoka sehemu tajwa hapo juu.

IMG_20201023_090526.jpg
 
HH
Kuna watu wanalazimishwa waende walikokataliwa
 
Kwahiyo nikishapiga kura siku hiyo siruhusiwi kusafiri? Na wagonjwa siku hiyo hawaruhusiwi kwenda nje kutibiwa.
 
Sisi tunaotoka mbele tunaruhusiwa kutua siku hiyo?
 
Khaaa, tembea uone! Kumbe usafiri huu ni wa Watanzania pekee!!!
 
Ndugu na jamaa wanaotarajiwa kufanya safari ya kuja Zanzibar au kwenda Bara mnapaswa kufanya safari zenu mapema kabla ya wiki ijayo ya tarehe 28.

Mkumbuke siku hiyo hakutakuwa na chombo kitakachobeba raia kutoka sehemu tajwa hapo juu.

Naona Jinsi Wazanzibari watakavyoondoka kuja huku BARA.Maana kikinuka kule hatoki MTU.Natabairi kwamba tunaweza kujikuta tuan worst crisis in zanzibar katika uchaguzi huu.
 
Naona Jinsi Wazanzibari watakavyoondoka kuja huku BARA.Maana kikinuka kule hatoki MTU.Natabairi kwamba tunaweza kujikuta tuan worst crisis in zanzibar katika uchaguzi hhuu.
Hata majahazi na ngalawa huwa wanatumia, 2010 wengi walifika mombasa kama wakimbizi unadhani ilikuwa ni njia gani iliyowafikisha?
 
Back
Top Bottom