chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,371
- 1,856
Ni jambo jema! Itaepusha malalamiko kwa watakaoshindwa na kutoa visingizio kwamba watu wamepiga kura mara mbili (bara na visiwani).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau kushuka mpaka mwisho wa karatasi.Sumatra nao sijui watakuja na tamko gani manake hapa niko safari naingia Moshi town kukandamiza pale nilikojiandikishia alafu najeuza kurejea Dar
Ndugu na jamaa wanaotarajiwa kufanya safari ya kuja Zanzibar au kwenda Bara mnapaswa kufanya safari zenu mapema kabla ya wiki ijayo ya tarehe 28.
Mkumbuke siku hiyo hakutakuwa na chombo kitakachobeba raia kutoka sehemu tajwa hapo juu.
Usisahau kushuka mpaka mwisho wa karatasi.
[/QUO
TE]
Hahha ndo niko kijijini hapa migombani natoa elimu ya mpiga kura naona somo wanalielewa vizuri na naelekeza ukiona logo ya chadema wewe kandamiza hapo hapa kuanzia diwani hadi kwa Rais Lissu
Ndo mpango wao, hapo suluhisho ni Nini mkuu?Wanaweza wasikate ila kukawa na traffic ya kutosha, imean speed itapunguzwa sana kuwafanya watu wasifanikiwe kuchukua wanachotaka mtandaoni.
Metered internet nadhani ndio suluhisho.. Tatizo ni accessibilityNdo mpango wao, hapo suluhisho ni Nini mkuu?