Uchaguzi 2020 Kusitishwa kwa usafiri wa boti Zanzibar na Bara siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 28

Ni jambo jema! Itaepusha malalamiko kwa watakaoshindwa na kutoa visingizio kwamba watu wamepiga kura mara mbili (bara na visiwani).
 
Sumatra nao sijui watakuja na tamko gani manake hapa niko safari naingia Moshi town kukandamiza pale nilikojiandikishia alafu najeuza kurejea Dar
Usisahau kushuka mpaka mwisho wa karatasi.
 
Hiyo siku ya uchaguzi hata internet watakata.
 
Wazuie pia anga na bandari bubu zote.

Siyo wanaohamasisha fujo huko halafu kikinuka wanakimbilia Dar kufanya press!
 
Usisahau kushuka mpaka mwisho wa karatasi.
[/QUO
TE]

Hahha ndo niko kijijini hapa migombani natoa elimu ya mpiga kura naona somo wanalielewa vizuri na naelekeza ukiona logo ya chadema wewe kandamiza hapo hapa kuanzia diwani hadi kwa Rais Lissu
 
Hiyo siku ya uchaguzi hata internet watakata.
Wanaweza wasikate ila kukawa na traffic ya kutosha, imean speed itapunguzwa sana kuwafanya watu wasifanikiwe kuchukua wanachotaka mtandaoni.
 
Wanaweza wasikate ila kukawa na traffic ya kutosha, imean speed itapunguzwa sana kuwafanya watu wasifanikiwe kuchukua wanachotaka mtandaoni.
Ndo mpango wao, hapo suluhisho ni Nini mkuu?
 
Ndo mpango wao, hapo suluhisho ni Nini mkuu?
Kama ni mjanja au uko na vijana watundu waambie wakuunganishe na sever za nje ya nchi, hawatakupata as VPN
 
Maalim seif alitaka achukue vibaraka wake bara ili wakampigie kura ee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…