Kusitishwa Mradi wa Bagamoyo SEZ kumedhihirisha udhaifu wa Rais Magufuli kwenye Uchumi na Diplomasia

Umeelewa financer wa mradi huo (kwa 100%) ni nani?
 
Kwakuongea hamjambo,ni rahisi sana
 
Ahsante sana kwa somo.
Subiri darasa la saba waje kupinga facts bila ushahidi.
Ushauri na maneno kama haya ambayo yalipaswa kufanyiwa kazi na wenye mamlaka hayatapewa uzito unaostahili bali yatajibiwa kwa ngojera za "wanatumiwa na mabeberu"
 
Naamini kabisa kama mambo yangeenda kama yaluvyopangwa tungekuwa tunasoma uzi wa kukosoa uamuzi huo.
Braza achana na hawa watu, yafaa uwe na akili special sana kuwaelewa, ila kama unalala na kuamka kwa dada yako kama wengi wao humu, huwezi waelewa watu kama zitto.

Kaja hapa na jamvi na vihoja mchuzi, basi wajinga flani wanaona dah, jamaa ni muona mbali, kumbe cheche.
 
Kusoma na kuandika inawatosha!!!
Hata koroshow aliwaonya huyohuyo...
Acheni kufananisha chura na kambale...
 
Kusoma na kuandika inawatosha!!! Acheni kufananisha chura na kambale...
Kama mna eneo lenu mnaweza wapa hao wachina wajenge, wapeni.

Hizi siasa uchwara zinazokwenda na matukio, zinahitaji backup za wasio na misimamo kama wewe.

Zitto hawezi kuwa mshauri mzuri wakati wote.
 
Kwenye ukweli lazima usemwe hapa mheshimiwa umeongea ukweli, tatizo kubwa la uongozi wa sasa ni kutokujua uchumi wa dunia unaendaje na tatizo kubwa zaidi ni kutokutaka kujifunza, Rai's wetu anafanya mambo mazuri lakini hajui uchumi wadunia unaendaje, hajui umafia WA biashara za kimataifa ndio maana anaamini Tanzania ni nchi pekee duniani wazungu wanaitolea macho kumbe hajui gas, madini na rasilimali zingine ziko dunia nzima wawekezaji wanaangalia wapi pa kwenda ukiwafungia mlango huku wanaenda nchi nyingine.
Sisi bado tuna ndoto za kijamaa tukidhani ndio zitatutoa kwenye ulimwengu wa kibepari
 
Ni ushauri mzuri
Serikali haijasitisha uanzishwaji wa SEZ Bagamoyo badala yake imesogeza mbele utekelezaji wake
Kweli aliye tuloga wa tz mungu anamuona sio kwa ujinga huu...hata ku connect Dots huwezi
 
Financer wa mradi 100% ndio hafai.

Umesoma uchumi wapi nyumbu wewe!!!

Maana yake hiyo bandari ni mali ya hao wachina 100%, unajua madhara yake, au mauno tu kama kawaida yenu!!
Mbona matusi tena mzee...!
Kwani mimi nimesema uyo "financier" anafaa?

Comment yako inadhihirisha mambo kadhaa 1/ uwezo mdogo ulio nao kwenye mijadala, 2/ umahiri wako wa kupenda kumshambulia mtu badala ya hoja.

Usikubali watu wakaufaham udhaifu wako kirahisi namna hiyo.
 
Pesa yote hiyo inatolewa na mwekezaji kwa 100%. Tulitakiwa tujadiliane namna ya uendeshaji ya kuwa labda kwa usalama kuwepo na local content ambapo tutaweza kuweka watu wetu kwa ajili ya usalama wa nchi. Na pia Je uendeshaji wake utakuwa wa muda gani kabla ya ku transfer? Kwa ujumla faida ni kubwa kuliko kutokuwa na huo mradi (Kuna multiplying effect kubwa kiuchumi na kijamii in the long run). Kuna haja ya kushirikiana kwenye majadiliano kama taifa bila kujali vyama.
 
Tusi liko wapi hapo!!! Mimi nimekupa sifa uliyo nayo, au ulitaka nikuite simba wa yuda!!!
 
Ana Roho mbaya sana hilo ndoo tatizo kubwa mnoo kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…