Kusogeza mbele mechi sababu nini?

Kusogeza mbele mechi sababu nini?

JOYOPAPASI

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
250
Reaction score
409
Mechi ya yanga na azam ilisogezwa mbele - ikatolewa sababu.

Mechi ya biashara na yanga ilisogezwa mbele - ikatolewa sababu.

Mechi ya simba na yanga imesogezwa mbele - haijatolewa sababu ( why.!!)? @tanfootball

Nchi nzima hatujui sababu zaidi ya waziri wa michezo tu- @innobash

(1/3).Siye @yanga1935 hatujawahi bebwa na hatubebwi tulijiandaa kushinda mechi, sasa mauganga ya @simbasctanzania ya ghafla ya nini.

Asanteni Viongozi wa @Yanga1935 ,Asante Sana Rafiki yangu wa Zama Zoote Eng. #herissaid na #GSM kwa Maandalizi Ya Ushindi Mnono-#TungeshindaMno.
 
Kwa iyo yanga sa hivi kimekuwa kikundi cha kutafsiri sheria.Mtueleze kusogezwa kwa mechi kumewaletea madhara gani mpaka mshindwe kucheza saa 1 usiku
 
Back
Top Bottom