EEM M
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 459
- 937
Habari za muda ndugu zangu.
Binafsi nimewiwa sana kujiendeleza kwa kusoma Masters katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University) kwani mbali na ubora wa elimu inayopatikana napo na kukifanya kiwe Chuo Kikuu cha pili Tanzania kwa ubora nimeamua kupapendekeza hapo kama chaguo langu la kwanza kulingana na ratiba yangu ya kazini na mambo mengine.
Ningependa kupata experience kwa mtu ambaye alishawahi kusoma hapo OUT hasa kwa level ya Masters. Sina shaka na utaratibu wa kusoma kwani naamini naweza kupambana na kusoma na ku-researchmwenyewe under minimum supervision.
Naomba kufahamu kuhusu mitihani yao, Usahihishaji na GPA zao ZINAPATIKANA??
Nasema haya nikiwa nafaham kuwa GPA inatokana na uwezo wa mtu binafsi, lakini pia hii haifuti ukweli kuwa kuna baadhi ya vyuo ni vigumu sana kupata GPA.
Je, Kwa Masters pale OUT GPA ya 4.0 and above INAPATIKANA??
Wenye experience mawazo yenu ni muhimu hapa.
Karibu kwa Ushauri wenu.