Kusoma sana ni uoga wa maisha na umburula pia

Kusoma sana ni uoga wa maisha na umburula pia

Mkuu uzi si unazungumzia take home?
Sasa kwanini ushangae take home ya dola 50-100?
Ni take home kaka, after all deduction, kile kinachobaki.
Sasa unakuta kuna mwezi au miezi mtu kala salary adv, ana mkopo, labda ana deni la imprest analipa.bado zile statutory deduction
Dah unakuwa tight sana aisee..
 
Sikuombei ugojwa, but siku ukipata tatizo ukaenda pale Muhimbili ndio utajua nini maana ya elimu. Hivi unafikiri dunia inaongozwa na watu wajinga kama wewe?.

Hivyo simu unayotumia kuandika huu ujinga unafikiri imetengenezwa na watu wajinga kama wewe?
Jamaaa anachojua ni watu wanasoma na krndeleza elimu ili wapate pesa tuu na kuongeza vipato vyao tu
 
Sikuombei ugojwa, but siku ukipata tatizo ukaenda pale Muhimbili ndio utajua nini maana ya elimu. Hivi unafikiri dunia inaongozwa na watu wajinga kama wewe?.

Hivyo simu unayotumia kuandika huu ujinga unafikiri imetengenezwa na watu wajinga kama wewe?
We nenda kazooe taka za jiji huko ofisi ya mkuu wa wilaya
 
Mimi Nina hudumia matajiri wengi Tu na wote Wana feel proud kwa elimu yangu,na wao wanatamani wanao wasome kama Mimi so bro money is not everything, maarifa ya Jambo ni kila kitu
 
Hata we Biology na ka-diploma kako pia umepoteza muda, yaani hukutakiwa kusoma kabisa ili uwe tajiri mkuu, maana kuwa watu hawakukanyaga hata darasa la kwanza ila wana pesa kukuzidi wewe mbali mno.

Kwanini ulihangaika kufika hapo ulipo? Kabla hujamtukana mwenye digrii na kuendelea, jilaumu wewe kwanza kwa kuzidiwa kipato na standard 7 leaver au yule ambaye hakukanyaga umande kabisa.
 
Let me ask you something

Does human leave their consciousness on earth after they die?

If the answer is yes ,then it means where you are going after you die you will be like a little innocent kid who knows nothing and eternity punishment will not be upon your soul.

If the answer is no , then why obscuring yourself to study thing that will better your consciousness,

Be advised that retaining something that even after you die will be within your consciousness worth every penny of effort your putting through

Sometimes life is not all about money

FlyingDutchman
 
image_e4ba2257-8c1f-4bd1-8a09-48f46855d74520230409_083924.jpg
 
Jamii forum kila kukicha inavamiwa na wehu tu... waliofeli shule wanaiponda elimu kila kukicha.
 
Sikuombei ugojwa, but siku ukipata tatizo ukaenda pale Muhimbili ndio utajua nini maana ya elimu. Hivi unafikiri dunia inaongozwa na watu wajinga kama wewe?.

Hivyo simu unayotumia kuandika huu ujinga unafikiri imetengenezwa na watu wajinga kama wewe?
Maisha marefu sana kwako kiongozi! Tuma namba P.M nikutumie idd yako 😅😅😅👍🏾
 
Juzi nimeona kazi embassy moja ebhana normal officer analamba 5.7m huko wewe mwenye diploma unadhani lini utamake 5.7m per month hata ukifanya biashara labda ufanye uchawi sijui kafara😀😀😀
Mkuu unamaanisha 5.7m kwa mwezi ni hela kubwa kwa mfanyabiashara????

Nakupa pole lakini😊
 
Nashangazwa na hii mijitu kutwa kuzurura kwenye korido za vyuo vikuu yaani nawaona mburula balaa but mbaya zaidi wakimaliza kutwa kuzunguka na baada bahasha la kaki kutafuta employment au wengine wanajiendeleza na kusoma eti kisa kuongeza laki 200000 tu kwenye mshahara wake! Huo ni ulofa na umburula

Lijitu limesoma 7 year halafu anakuja kuambulia 1.5 milion huu si ulofa? Na lijitu lingine linasoma 3 year na anajiita msomi kwa mshahara wa 540000 take home huu si umburula? Halafu utakuta hana hata mia mbovu mfukoni make?

Kuna mwana yeye kutwa kuwapiga vizinga wenzio na hapo halafu anajiita msomi halafu hana hata mia mbovu kazi kutusumbua sie wenye Diploma pesa ya kula na kumvisha mkewe! Ni upuuzi na ujinga mpaka leo mtu anaamini elimu ya vyeti na malofa wengine wanaamini basic thing eti food,shelter and clothes ni ulofa na umburula
Ukiona mtu anawasema sana wasomi ujue yeye hana vigezo vya kuendelea na elimu 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom