Kusoma sana ni uoga wa maisha na umburula pia

Dah unakuwa tight sana aisee..
 
Jamaaa anachojua ni watu wanasoma na krndeleza elimu ili wapate pesa tuu na kuongeza vipato vyao tu
 
We nenda kazooe taka za jiji huko ofisi ya mkuu wa wilaya
 
Mimi Nina hudumia matajiri wengi Tu na wote Wana feel proud kwa elimu yangu,na wao wanatamani wanao wasome kama Mimi so bro money is not everything, maarifa ya Jambo ni kila kitu
 
Juzi nimeona kazi embassy moja ebhana normal officer analamba 5.7m huko wewe mwenye diploma unadhani lini utamake 5.7m per month hata ukifanya biashara labda ufanye uchawi sijui kafara๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hata we Biology na ka-diploma kako pia umepoteza muda, yaani hukutakiwa kusoma kabisa ili uwe tajiri mkuu, maana kuwa watu hawakukanyaga hata darasa la kwanza ila wana pesa kukuzidi wewe mbali mno.

Kwanini ulihangaika kufika hapo ulipo? Kabla hujamtukana mwenye digrii na kuendelea, jilaumu wewe kwanza kwa kuzidiwa kipato na standard 7 leaver au yule ambaye hakukanyaga umande kabisa.
 
Let me ask you something

Does human leave their consciousness on earth after they die?

If the answer is yes ,then it means where you are going after you die you will be like a little innocent kid who knows nothing and eternity punishment will not be upon your soul.

If the answer is no , then why obscuring yourself to study thing that will better your consciousness,

Be advised that retaining something that even after you die will be within your consciousness worth every penny of effort your putting through

Sometimes life is not all about money

FlyingDutchman
 
Jamii forum kila kukicha inavamiwa na wehu tu... waliofeli shule wanaiponda elimu kila kukicha.
 
Maisha marefu sana kwako kiongozi! Tuma namba P.M nikutumie idd yako ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ‘๐Ÿพ
 
Juzi nimeona kazi embassy moja ebhana normal officer analamba 5.7m huko wewe mwenye diploma unadhani lini utamake 5.7m per month hata ukifanya biashara labda ufanye uchawi sijui kafara๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Mkuu unamaanisha 5.7m kwa mwezi ni hela kubwa kwa mfanyabiashara????

Nakupa pole lakini๐Ÿ˜Š
 
Ukiona mtu anawasema sana wasomi ujue yeye hana vigezo vya kuendelea na elimu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ