Kusoma Sheria kunawachanganya watoto wa kike

The real Daniel

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2017
Posts
2,117
Reaction score
7,899
Baada ya kusoma Sheria watoto wakike wanashindwa kufit kwenye jamii. Ndoa zao ni taabu na nyingi maana wanataka kureason Kila kitu na kupigania 50/50.

Wanakuwa brainwashed kwa kiwango kikubwa na kugeuka watetezi wa lifestyle za ulaya na wanaona Mila na desturi za waafrica ni barabaric na zimepitwa na wakati. Wanaanzisha ma NGO ya kutetea tamaduni za kizungu pasipo kujua madhara yake.

Watoto wangu wakike hawatasoma Sheria hata kama wakililia
 
Suluhisho ni nini?
 
Hii vita hii ni ya kumtoa mtu uhai. Ngoja nijipange vizuri[emoji116][emoji1787][emoji1787]
20230327_192342.jpg
 
Nikweli kabisa anasoma sheria ana taka 50/50 mwishowe anaangukia kwenye ushoga kwan na yeye atatak aowe kama mwanaume[emoji16][emoji848][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Hii kitu 50/50 imefanya ndoa nyingi sana za miaka ya hivi karibuni zisidumu,Hawa wenzetu wanashindwa kutofautisha wapi waitake hiyo 50/50,wao Kila sehemu wanataka haki sawa,kitu ambacho naturally hakiwezekani,na ni wanaume wachache sana wanaokubali kupokwa majukumu Yao na haki zao Kwa kisingizio Cha 50/50,.
Mbaya zaidi kama kaelimu Nako amekapata basi hapo humo ndani ni mvulugano tu mwanzo mwisho,,.
Dada zangu Kwa maslahi ya familia Yako hiyo 50/50 msii apply nyumbani mwenu ihubirini nje huko nje ndani ya ndoa msithubutu kuiingiza vinginevyo mtatulaumu wanaume bure
 
Utasikia mwanamke anawadanganya wenzio "MIMI KWANGU SI OMBI RUHUSU NIKITAKA KUONDOKA NATOA TU TAARIFA" wao pia kwa ujinga wanahitikia, hakuna mwanamme atakubali mwanamke ampe tu taarifa bila kuomba ruhusu mapema kabla ya siku ya tukio kuwa atasafiri kwenda point X.

Yule msanii aliekuwa anawapotosha na kuamasisha wanawake wenzie kumbe Uchebe sijui anamdunda kwelikweli.
 
Back
Top Bottom