Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh wabongo ban kuelewa kaziiKuna neno linasema waache wafu wazikane wao kwa wao...
kama unaona sheria huzijui usihangaike kuchukua mwanasheria
Yes. Inawezekana kukawa na unafuu wakioana wao kwa wao. Japo sija prove.Kuna neno linasema waache wafu wazikane wao kwa wao...
kama unaona sheria huzijui usihangaike kuchukua mwanasheria
Ubaya wanawake wanapigana kamba Sana wakikutana. Kila mtu anataka kumvimbia mwenzie kumbe uhalisia wa nyumbani hauko hivyo. Sasa unakuta Kuna mmoja alitaka aende nyumbani na aache kumuaga mume wakeUtasikia mwanamke anawadanganya wenzio "MIMI KWANGU SI OMBI RUHUSU NIKITAKA KUONDOKA NATOA TU TAARIFA" wao pia kwa ujinga wanahitikia, hakuna mwanamme atakubali mwanamke ampe tu taarifa bila kuomba ruhusu mapema kabla ya siku ya tukio kuwa atasafiri kwenda point X.
Yule msanii aliekuwa anawapotosha na kuamasisha wanawake wenzie kumbe Uchebe sijui anamdunda kwelikweli.
ndicho nilichokimaanisha... hapo juu...Yes. Inawezekana kukawa na unafuu wakioana wao kwa wao. Japo sija prove.
huku kuna mtu kamshtaki mmiliki wa jogoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tusubilie ashtakiwe mbuz,,Baada ya kusoma Sheria watoto wakike wanashindwa kufit kwenye jamii. Ndoa zao ni taabu na nyingi maana wanataka kureason Kila kitu na kupigania 50/50.
Wanakuwa brainwashed kwa kiwango kikubwa na kugeuka watetezi wa lifestyle za ulaya na wanaona Mila na desturi za waafrica ni barabaric na zimepitwa na wakati. Wanaanzisha ma NGO ya kutetea tamaduni za kizungu pasipo kujua madhara yake.
Watoto wangu wakike hawatasoma Sheria hata kama wakililia
Waache wasome hutawaoa wewe.Baada ya kusoma Sheria watoto wakike wanashindwa kufit kwenye jamii. Ndoa zao ni taabu na nyingi maana wanataka kureason Kila kitu na kupigania 50/50.
Wanakuwa brainwashed kwa kiwango kikubwa na kugeuka watetezi wa lifestyle za ulaya na wanaona Mila na desturi za waafrica ni barabaric na zimepitwa na wakati. Wanaanzisha ma NGO ya kutetea tamaduni za kizungu pasipo kujua madhara yake.
Watoto wangu wakike hawatasoma Sheria hata kama wakililia
Duuh rudia kusoma ujue anacho maanixha hatuzungumzii ndoa na mahusianoWala sheria hasababishi watu kua na kiburi kwenye ndoa zao.. ni baadhi tu especially Kama mtu ana hiyo tabia
Ukiwa na mwanamke wako mwanasheria unatakiwa usiweke hayo mawazo mbele kiasi kwamba hata akizidisha chumvi kwenye mboga unaanza kusema yani nyie wanasheria
Wadada mawakili very romantic wanapenda wenzi wao isipokua tu huwezi kuendana nao kama kichwani sio smart [emoji23][emoji23]
Wala hakuna somo la sheria linalosema mwanamke ukisoma sheria inabidi uwe sio humble
Au nyie mnakutana na wanawake wanasheria wamesomea wapi... cuba? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh rudia kusoma ujue anacho maanixha hatuzungumzii ndoa na mahusiano
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Yule ndiyo kiongozi waoUnamsema shangazi yule mjukuu wa raisi wa zanzibar anayetetea upinde.