The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Hatari sanaAisee safari tunayo, labda wasisome kabisa
Suluhisho ni nini?Baada ya kusoma Sheria watoto wakike wanashindwa kufit kwenye jamii. Ndoa zao ni taabu na nyingi maana wanataka kureason Kila kitu na kupigania 50/50.
Wanakuwa brainwashed kwa kiwango kikubwa na kugeuka watetezi wa lifestyle za ulaya na wanaona Mila na desturi za waafrica ni barabaric na zimepitwa na wakati. Wanaanzisha ma NGO ya kutetea tamaduni za kizungu pasipo kujua madhara yake.
Watoto wangu wakike hawatasoma Sheria hata kama wakililia
Hii vita hii ni ya kumtoa mtu uhai. Ngoja nijipange vizuri[emoji116][emoji1787][emoji1787]Baada ya kusoma Sheria watoto wakike wanashindwa kufit kwenye jamii. Ndoa zao ni taabu na nyingi maana wanataka kureason Kila kitu na kupigania 50/50.
Wanakuwa brainwashed kwa kiwango kikubwa na kugeuka watetezi wa lifestyle za ulaya na wanaona Mila na desturi za waafrica ni barabaric na zimepitwa na wakati. Wanaanzisha ma NGO ya kutetea tamaduni za kizungu pasipo kujua madhara yake.
Watoto wangu wakike hawatasoma Sheria hata kama wakililia
Unapingana auHii vita hii ni ya kumtoa mtu uhai. Ngoja nijipange vizuri[emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2569984
Chakufanya kikubwa ni kubadirisha fikira za mwana mke na kuweka fikra harisi ya mila na destur zetu
Hahaha wakina dada tena!Hii mada ni nzito itabidi tuskie upande wa kina dada To yeye