Apollo tyres
Senior Member
- Nov 16, 2024
- 109
- 286
Wakuu habari.
Nimekuwa nafatilia Sana kuhusu mada mbali mbali kuhusu mtoto kusoma shule za kata au kayumba na kumsomesha shule za gharama Private.
Kwa kuanza nitatoa mifano mifano kadhaa kuhusu Mimi binafsi.
Mimi nilipata bahati ya kusoma shule za gharama kubwa kuanzia kidato cha kwanza mpaka form six .
Na hatimaye tulijiunga na masomo ya chuo kikuu.
Maisha ya chuo Kwa upande wangu yalikuwa mazuri Kwa aslimia kubwa.
Na waliotoka Kayumba na wenyewe walifanya vizuri Sana .
Ila one of the big mistake ambayo ilikuja kutokea kati ya Mtu akiyetoka kayumba na sisi ambao tumetoka shule bora na za gharama ni katika uelewa wa mambo ya kimaisha .
Kiuweli hawa Kayumba wanaosoma na kufaulu Kwa kukariri Ila kichwani hamna kitu kabisa.
Hawajui lugha ya kiingereza hata kidogo , hana uwezo hata wa kujielezea Kwa kiingereza , kujiamini hawawezi n.k.
Baada ya kutoka chuo miaka ya 2016s
Wengi mpaka Leo waliosomea ulaimu hawajapata Ajira na ni jobless ?
Ila wale waliotoka shule bora wameajiriwa katika makampuni makubwa kwakuwa wana network kubwa na wanafahamiana na CLASSMATE WAO ambao wanatoka familia bora .
Na wengine wapo nje wanafanya Kazi .
Hivyo mzazi au mlezi shule za kayumba Kama Una uwezo usimsomeshe mtoto wako dunia ya Leo ni dunia ya network
mtoto anasoma ualimu akikosa Ajira anaona destiny yake imefika mwisho .
Mshahara wemyewe wa Mwalimu ni 500K-900 no allowance no per diem n.k
Ukienda katika makampuni watu wemgine wamefika tu form four Ila lugha ipo vizuri wanapata mashavu makubwa so we need to change our mind set.
Kama naongea uongo nipigwe mawe Ila shule za serikali hazina maana.