Elon Musk, mmoja kati ya matajiri wawili wakubwa kabisa duniani, alisema kwamba yeye hakuanza kwa nia ya kupata hela per se, alianza kwa nia ya kutatua matatizo makubwa.Kama unapata elimu na haikuwezeshi kuwa na fedha bado elimu haijakusaidia. Watu wengi wamesoma sana ila wanafeli kuzitumia elimu zao kuyamudu mazingira ili wapate mahitaji muhimu.
Kaanzisha thread. Ni kazi kwako na mimi kuiendeleza. Acha mambo zako mkuu 😂😂😂Mtoa mada mbona thrid imekaa kitoto mnoo..!? Uko saw a!?ina mana huwez kifkiria zaid y hapo!?
Pia changamoto kubwa ni kuweza kutatua tatizo ambalo lina value (thamani) kubwa kwa watu wengi. Mfano Walmart supermarkets, wao wali-focus zaidi kwenye products nzuri ila bei ndogo. Elon Musk ndio kama hivyo ulivyosema. Kuwa na product au service yenye value kubwa kwa watu wengi inahitaji innovation/ creativity na pesa nyingi. Mfano Mondi platnumz video iliyomtoa ya Number 1, aliweka $$$ nyingi sana na akakubalika. Na yeye hakurudi nyuma tokea hapo. Product au service yenye value kubwa ndio wengi wanashindwa. Na hata mtu akimaliza chuo akiwa na idea, funding anakosa. Kwa hio anaumia kila kona.Elon Musk, mmoja kati ya matajiri wawili wakubwa kabisa duniani, alisema kwamba yeye hakuanza kwa nia ya kupata hela per se, alianza kwa nia ya kutatua matatizo makubwa.
Akajiingiza kwenye matatizo makubwa ya dunia kama kupata magari yasiyochafua mazingira, na watu kuweza kuhamia kwenye sayari nyingine ikitokea kimondo kinaiunguza sayari hii.
Ukiweza kutatua matatizo makubwa, kuna watu wengi tu watataka kukulipa uwatatulie matatizo yao.
Hapo ndipo nakumbuka maneno ya TANU/ Nyerere, kwamba, utu wa mtu ni kazi, pesa ni matokeo.
Yani, ukifanya kazi ya maana, mara nyingi pesa inakuja tu kama matokeo ya kazi nzuri.
Ukifukuza sana pesa bila kuangalia mchango wako katika jamii kikazi, unaweza kukosa pesa au kupata pesa ambazo hazikai.
Wasomi wetu wanatatua matatizo makubwa yapi?
Amna kuna mda inabid tusiamin sasa kama humu ni home of great thinkersKaanzisha thread. Ni kazi kwako na mimi kuiendeleza. Acha mambo zako mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio nini saasaaaa!? Bumija, njoo pm nkushauri jambo.. Uelew emic side y vijan unaowaongelea hapa. Sometimes unajikut unatukana watu bila kujua tusi ni neno gani katika uliyoyazungumzaEducation is better than money sio,kitoto zaidi.
Upuuzi mtupu huu..Elon Musk, mmoja kati ya matajiri wawili wakubwa kabisa duniani, alisema kwamba yeye hakuanza kwa nia ya kupata hela per se, alianza kwa nia ya kutatua matatizo makubwa.