Kusoma siyo kazi sana, kazi ni kuelimika

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Kadri miaka inavyoenda ndivyo ongezeko la wanafunzi linavyozidi kwenye shule za msingi, sekondari, vyuo, na vyuo vikuu. Na ufaulu pia unaongezeka hadi kufikia hatua ya wasio jua kusoma na kuandika nao wanafaulu.

Ila kinachonisikitisha na kunitatiza na kukosekana watu walioelimika.

Shida iko wapi?
 
Kuelimika sio tatizo , kuelimika na elimu ni tofauti ..Ili uweze kuelimika ni lazima akili yako iweze kuendana na kile unachokisoma na kukifanyia .

Elimu yetu kuna wengine hawaendani nayo yaani ni moja kwa moja ..Sio kila mtu atakuwa daktari mwingine awe hata msanii ...Kwenye kuelimika labda useme kustaarabika maana wako maprofessor wakifika kwao wanakunywa pombe chafu za kienyeji .
 
Kuelimi
ka sio KAZI kazi kukonbolewa
 
Kama una hela kidogo mtoto asome la 1 mpk f6 bongo then mpeleke chuo nje kama wanavyofanya wahindi, hii elimu chini ya CCM ni ya kipumbavu sn haimsaidii mtanzania, unakuta mtu amemaliza F6 ana divisioni 1 ya point 3-5 ukimwambia aeleze historia ake hawezi asee ni aibu tupu.
 
20240630_084400.jpg
 
Kuelimika sio tatizo , kuelimika na elimu ni tofauti ..Ili uweze kuelimika ni lazima akili yako iweze kuendana na kile unachokisoma na kukifanyia .

Elimu yetu kuna wengine hawaendani nayo yaani ni moja kwa moja ..Sio kila mtu atakuwa daktari mwingine awe hata msanii ...Kwenye kuelimika labda useme kustaarabika maana wako maprofessor wakifika kwao wanakunywa pombe chafu za kienyeji .
Hivi vya kienyeji ni vichafu? Tupunguze kuwahusudu wazungu.
 
Mazingira ya kuandaa ni machafu angalia hata msomi bado anakunywa pombe ,anavuta sigara na kufanya ngono zembe ...Ila kasoma yote hayo kwamba ni mambo hatari ,kwa utashi wake anapuuza tu.
 
Kinachowashinda wasomi wengi hawapewi elimu ya kutumia rasilimali watu huko mashuleni
 
Kadri miaka inavyoenda ndivyo ongezeko la wanafunzi linavyozidi kwenye shule za msingi, sekondari, vyuo, na vyuo vikuu. Na ufaulu pia unaongezeka hadi kufikia hatua ya wasio jua kusoma na kuandika nao wanafaulu.

Ila kinachonisikitisha na kunitatiza na kukosekana watu walioelimika.

Shida iko wapi?
Wapo pia "educated fools "
Hii isikupe sana tabu dunia nzima ndivyo ilivyo.
 
Back
Top Bottom