KweliShida ni aina ya elimu inayotolewa ni ya hovyo sn
Kama una hela kidogo mtoto asome la 1 mpk f6 bongo then mpeleke chuo nje kama wanavyofanya wahindi, hii elimu chini ya CCM ni ya kipumbavu sn haimsaidii mtanzania, unakuta mtu amemaliza F6 ana divisioni 1 ya point 3-5 ukimwambia aeleze historia ake hawezi asee ni aibu tupu.Kweli
Hivi vya kienyeji ni vichafu? Tupunguze kuwahusudu wazungu.Kuelimika sio tatizo , kuelimika na elimu ni tofauti ..Ili uweze kuelimika ni lazima akili yako iweze kuendana na kile unachokisoma na kukifanyia .
Elimu yetu kuna wengine hawaendani nayo yaani ni moja kwa moja ..Sio kila mtu atakuwa daktari mwingine awe hata msanii ...Kwenye kuelimika labda useme kustaarabika maana wako maprofessor wakifika kwao wanakunywa pombe chafu za kienyeji .
Mazingira ya kuandaa ni machafu angalia hata msomi bado anakunywa pombe ,anavuta sigara na kufanya ngono zembe ...Ila kasoma yote hayo kwamba ni mambo hatari ,kwa utashi wake anapuuza tu.Hivi vya kienyeji ni vichafu? Tupunguze kuwahusudu wazungu.
Wapo pia "educated fools "Kadri miaka inavyoenda ndivyo ongezeko la wanafunzi linavyozidi kwenye shule za msingi, sekondari, vyuo, na vyuo vikuu. Na ufaulu pia unaongezeka hadi kufikia hatua ya wasio jua kusoma na kuandika nao wanafaulu.
Ila kinachonisikitisha na kunitatiza na kukosekana watu walioelimika.
Shida iko wapi?