Kusoma vyuo vikuu nje ya nchi

Kusoma vyuo vikuu nje ya nchi

Kufanya application ni rahisi na probably unaweza kupata chuo

Tatizo linaanza kwenye fund ambayo ita-cover gharama zakoo za kuishi

Kwa mfano nchi nying za ulaya na america wanataka Dola elfu10 ( approximately to million 20 ) Kwa mwaka.
 
Kwahvyo ni Bora ukatumia ma-agent
TASSA wanasema unaweza kupata kozi za Bachelor Kwa million 5 Kwa mwaka au Masters Kwa 10 Kwa mwaka Kwa nchi kama Poland , Cyprus na India .
 
Ila ngoja nishauri
Kama unaweza kupata mtu ( ndugu, Jamaa, Familia ) akawa na 25milion ikatumika kama Fund ya kuonyesha nchi husika
Ukiwa na bajeti ya 5-8 million unaweza kusoma nchi za nje especially Europe / US au Canada vzr tu.
Maana hapo unaweza kupata part time job ukiwa huko hvyo ukapata Cha kuongezea kwenye gharama Nyngne

Hyo 25milion unaweza usiiguse kabisa na ukamrudishia mwenyew nayo.

Hiyo unaweza kui-apply kwenye nchi za ulaya zenye FREE TUITION FEES kama Germany, Austria , Luxaumburg

Wa-nigeria Huwa wanafanya hako kamchezo
Wanafanya kama kukopesha hv required fund
Ukifanikiwa kwenda unarudisha pesa na unawalipa kidogo
Kwa Njia hyo wameshafanikiwa
 
Nataka kusoma Austria au Germany. Process zake zipo vipi.
 
Coonection plz chuo kipi kama ni rahisi kihivyo
 
Wakubwa samahani sana poleni na majukumu...iv mfano nasoma course ya bsc in meteorology nawezaje kupata scholarship ya masters ambayo iko fully funded na huwa vigezo n vip mpaka nipate ivo ..nipo mbion kugraduate ila nataman nikimaliza niunge masters especially in aviation carrier je zipo ...mawazo na maelekezo yenu nayategemea
 
Nataka hii connection
All the best kawakilishe taifa vyema hapa Urusi
Screenshot_20230120-103302.jpg
 
Wala sio matapeli.Kwanza ujue mtoto wako.anataka kusoma nini ,budget yako then unaenda kwa agent .Mimi nilitumia global link education, nakushauri kama ni Mara ya kwanza tumia agent,mimi wakwanza nilifanya.hivyo ila waliofuata huyo wakwanza ndio alimsaidia process mwenzake na.anasoma Sasa.Muhimu Ana credit zinazotakiwa,anaruhusa au Kibali kutoka TCU yaani letter of no objection pia unaweza ku apply TCU hiyo barua unalipia 50,000 tu baada ya wiki mbili unapata hiyo barua kama chuo kinatambulikana.Pia kila mwaka TCU hufanya maonyesho pale mnazi mmoja na vyuo Vingi vya ndani na nje hushiriki so ningekushauri uende maonyesho.ya mwaka.huu
Iyo barua ya no objection kutoka TCU wanaangakia vigezo gani? Ili upate iyo barua

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Wanaangalia chuo utakachokwenda kusoma kama kina vigezo vinavyotambulika na TCU kutoa hiyo course /degree ,then wanaangalia qualification zako kama zinakidhi kusoma hiyo course ,then wanakupa hiyo letter on no objection.Ukirudi unaleta certificate /degree yako unaambatanisha na barua waliokupa ukasome ,then wanakutambua .Kama ni mwanasheria ,wanakuruhusu sasa uende school of law ili ukaweze kusajiliwa nchini, kama ni MD unaenda kufanya internship nk.Unajaza hiyo form online ,unaweka namba ya vyeti vyako ,unalipia 50,000 then after 5 days kama hakuna shiaa unapata barua yako .Kama shule au chuo hawakitambui wanaweza kukuomba details zaidi au wakawasiliana na chuo husika .Ila nivizuri ukaenda vyuo ambavyo tayari vinatambulikana na TCU
 
Kuna taasisi nyingi hivi sasa ni agents wa vyuo vikuu nje ya nchi,kama kuna mtu mwenye ushuhuda kuhusu ukweli wao kama sio matapeli naomba anifahamishe kabla sijafanya maamuzi,,,hususan TASSAA na hawa global
Kama kuna mzazi au mtu yeyote amesoma au kumpeleka kijana wake kupitia taasisi hizi kozi ya optometry ,radiology au anaesthesia naomba anifahamishe maana ndio nataka kwenda kusoma kati ya hizo

Shukran.
Afu ukirudi Tz, baada ya kumaliza chuo, UJE ULIPWE LAKI 7. Wakati huo ushalipa ma-flight tickets, ma-accomodation, ma-ada..etc
 
Wanaangalia chuo utakachokwenda kusoma kama kina vigezo vinavyotambulika na TCU kutoa hiyo course /degree ,then wanaangalia qualification zako kama zinakidhi kusoma hiyo course ,then wanakupa hiyo letter on no objection.Ukirudi unaleta certificate /degree yako unaambatanisha na barua waliokupa ukasome ,then wanakutambua .Kama ni mwanasheria ,wanakuruhusu sasa uende school of law ili ukaweze kusajiliwa nchini, kama ni MD unaenda kufanya internship nk.Unajaza hiyo form online ,unaweka namba ya vyeti vyako ,unalipia 50,000 then after 5 days kama hakuna shiaa unapata barua yako .Kama shule au chuo hawakitambui wanaweza kukuomba details zaidi au wakawasiliana na chuo husika .Ila nivizuri ukaenda vyuo ambavyo tayari vinatambulikana na TCU
Vp kama gpa yako ni B average lakini sio 3 na icho chuo ulichoomba kinatambulika na wamekuchagua...?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Vp kama gpa yako ni B average lakini sio 3 na icho chuo ulichoomba kinatambulika na wamekuchagua...?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kabla ujasomq hicho chuo ,ukishapata admission, neda kwenye website ya TCU jaza form za kuomba letter of no objection .Ukipata inamaana hakuna shida nenda kasome ,ukikosa nenda kaulize sababu na wanakushauri.Pia kila mwaka TCU na vyuo vya ndani na nje huwa wanafanya maonyesho mmnazi mmoja kwa ajili ya kuelimisha umma.Mwaka huu wakitangaza nitakujulisheni muende mpate kujua vyuo vinavyotambulika nk
 
Fanya hivyo ndugu ilimradi na sisi tupate upeo
 
Wanaangalia chuo utakachokwenda kusoma kama kina vigezo vinavyotambulika na TCU kutoa hiyo course /degree ,then wanaangalia qualification zako kama zinakidhi kusoma hiyo course ,then wanakupa hiyo letter on no objection.Ukirudi unaleta certificate /degree yako unaambatanisha na barua waliokupa ukasome ,then wanakutambua .Kama ni mwanasheria ,wanakuruhusu sasa uende school of law ili ukaweze kusajiliwa nchini, kama ni MD unaenda kufanya internship nk.Unajaza hiyo form online ,unaweka namba ya vyeti vyako ,unalipia 50,000 then after 5 days kama hakuna shiaa unapata barua yako .Kama shule au chuo hawakitambui wanaweza kukuomba details zaidi au wakawasiliana na chuo husika .Ila nivizuri ukaenda vyuo ambavyo tayari vinatambulikana na TCU
Ila kwenye mahitaji ya kuverify cheti ulichokipata nje ya nchi, sijaona kipengele chochote wanachotaka uwaoneshe NO OBJECTION CERTIFICATE YAO waluokupatia kabla hujaenda kusoma huko nje ya nchi.

na kuna raia kibao tuu, ninaona wanaenda kusoma nje ya nchi bila kuwa na iyo NO OBJECTION CERTIFICATE na wakirudi vyeti vyao vinakuwa verified bila kuulizwa iyo NOC.
 
Ivi ata kwa medicine pia
 
Ivi ata kwa medicine pia
Yeah.

Ila hakikisha kwamba ni unasifa za kusoma ndani kozi husika. Maana kama HUNA qualifications ya kusoma vyuo vya ndani then ukasema ukimbilie nje, ukirudi watakugomea kuwa hukuwa na sifa za kusoma ulichoenda kusoma huko nje na itakuwa umepoteza muda wako tuu maana hawatakupatia certificate of recognition ya cheti ulichopata huko nje.

So better kupata iyo NO OBJECTION CERTIFICATE YAO ili huko nje ukasome kwa amani, usije kujikuta umeongia gharama za kupoteza pesa na muda.
 
Back
Top Bottom