Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshajua ni chuo gani? Na taratibu zake?Nataka kwenda uganda nikasome Master ya Linguistics
Nataka kusoma Austria au Germany. Process zake zipo vipi.Ila ngoja nishauri
Kama unaweza kupata mtu ( ndugu, Jamaa, Familia ) akawa na 25milion ikatumika kama Fund ya kuonyesha nchi husika
Ukiwa na bajeti ya 5-8 million unaweza kusoma nchi za nje especially Europe / US au Canada vzr tu.
Maana hapo unaweza kupata part time job ukiwa huko hvyo ukapata Cha kuongezea kwenye gharama Nyngne
Hyo 25milion unaweza usiiguse kabisa na ukamrudishia mwenyew nayo.
Hiyo unaweza kui-apply kwenye nchi za ulaya zenye FREE TUITION FEES kama Germany, Austria , Luxaumburg
Wa-nigeria Huwa wanafanya hako kamchezo
Wanafanya kama kukopesha hv required fund
Ukifanikiwa kwenda unarudisha pesa na unawalipa kidogo
Kwa Njia hyo wameshafanikiwa
Nataka hii connectionUrusi wana recruit wapiganaji sasa hivi wawasaidie kuitwaa Kiev
Coonection plz chuo kipi kama ni rahisi kihivyoIla ngoja nishauri
Kama unaweza kupata mtu ( ndugu, Jamaa, Familia ) akawa na 25milion ikatumika kama Fund ya kuonyesha nchi husika
Ukiwa na bajeti ya 5-8 million unaweza kusoma nchi za nje especially Europe / US au Canada vzr tu.
Maana hapo unaweza kupata part time job ukiwa huko hvyo ukapata Cha kuongezea kwenye gharama Nyngne
Hyo 25milion unaweza usiiguse kabisa na ukamrudishia mwenyew nayo.
Hiyo unaweza kui-apply kwenye nchi za ulaya zenye FREE TUITION FEES kama Germany, Austria , Luxaumburg
Wa-nigeria Huwa wanafanya hako kamchezo
Wanafanya kama kukopesha hv required fund
Ukifanikiwa kwenda unarudisha pesa na unawalipa kidogo
Kwa Njia hyo wameshafanikiwa
All the best kawakilishe taifa vyema hapa UrusiNataka hii connection
Iyo barua ya no objection kutoka TCU wanaangakia vigezo gani? Ili upate iyo baruaWala sio matapeli.Kwanza ujue mtoto wako.anataka kusoma nini ,budget yako then unaenda kwa agent .Mimi nilitumia global link education, nakushauri kama ni Mara ya kwanza tumia agent,mimi wakwanza nilifanya.hivyo ila waliofuata huyo wakwanza ndio alimsaidia process mwenzake na.anasoma Sasa.Muhimu Ana credit zinazotakiwa,anaruhusa au Kibali kutoka TCU yaani letter of no objection pia unaweza ku apply TCU hiyo barua unalipia 50,000 tu baada ya wiki mbili unapata hiyo barua kama chuo kinatambulikana.Pia kila mwaka TCU hufanya maonyesho pale mnazi mmoja na vyuo Vingi vya ndani na nje hushiriki so ningekushauri uende maonyesho.ya mwaka.huu
Wanaangalia chuo utakachokwenda kusoma kama kina vigezo vinavyotambulika na TCU kutoa hiyo course /degree ,then wanaangalia qualification zako kama zinakidhi kusoma hiyo course ,then wanakupa hiyo letter on no objection.Ukirudi unaleta certificate /degree yako unaambatanisha na barua waliokupa ukasome ,then wanakutambua .Kama ni mwanasheria ,wanakuruhusu sasa uende school of law ili ukaweze kusajiliwa nchini, kama ni MD unaenda kufanya internship nk.Unajaza hiyo form online ,unaweka namba ya vyeti vyako ,unalipia 50,000 then after 5 days kama hakuna shiaa unapata barua yako .Kama shule au chuo hawakitambui wanaweza kukuomba details zaidi au wakawasiliana na chuo husika .Ila nivizuri ukaenda vyuo ambavyo tayari vinatambulikana na TCUIyo barua ya no objection kutoka TCU wanaangakia vigezo gani? Ili upate iyo barua
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
kabisa. kuna watu wanapenda kuazimisha akili zao kila kitu wafanyiweJamani mambo mengine ni uzembe yani chuo kama unaenda kujipia si ufanye hizo process's mwenyewe.
Afu ukirudi Tz, baada ya kumaliza chuo, UJE ULIPWE LAKI 7. Wakati huo ushalipa ma-flight tickets, ma-accomodation, ma-ada..etcKuna taasisi nyingi hivi sasa ni agents wa vyuo vikuu nje ya nchi,kama kuna mtu mwenye ushuhuda kuhusu ukweli wao kama sio matapeli naomba anifahamishe kabla sijafanya maamuzi,,,hususan TASSAA na hawa global
Kama kuna mzazi au mtu yeyote amesoma au kumpeleka kijana wake kupitia taasisi hizi kozi ya optometry ,radiology au anaesthesia naomba anifahamishe maana ndio nataka kwenda kusoma kati ya hizo
Shukran.
Vp kama gpa yako ni B average lakini sio 3 na icho chuo ulichoomba kinatambulika na wamekuchagua...?Wanaangalia chuo utakachokwenda kusoma kama kina vigezo vinavyotambulika na TCU kutoa hiyo course /degree ,then wanaangalia qualification zako kama zinakidhi kusoma hiyo course ,then wanakupa hiyo letter on no objection.Ukirudi unaleta certificate /degree yako unaambatanisha na barua waliokupa ukasome ,then wanakutambua .Kama ni mwanasheria ,wanakuruhusu sasa uende school of law ili ukaweze kusajiliwa nchini, kama ni MD unaenda kufanya internship nk.Unajaza hiyo form online ,unaweka namba ya vyeti vyako ,unalipia 50,000 then after 5 days kama hakuna shiaa unapata barua yako .Kama shule au chuo hawakitambui wanaweza kukuomba details zaidi au wakawasiliana na chuo husika .Ila nivizuri ukaenda vyuo ambavyo tayari vinatambulikana na TCU
Kabla ujasomq hicho chuo ,ukishapata admission, neda kwenye website ya TCU jaza form za kuomba letter of no objection .Ukipata inamaana hakuna shida nenda kasome ,ukikosa nenda kaulize sababu na wanakushauri.Pia kila mwaka TCU na vyuo vya ndani na nje huwa wanafanya maonyesho mmnazi mmoja kwa ajili ya kuelimisha umma.Mwaka huu wakitangaza nitakujulisheni muende mpate kujua vyuo vinavyotambulika nkVp kama gpa yako ni B average lakini sio 3 na icho chuo ulichoomba kinatambulika na wamekuchagua...?
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Fanya hivyo ndugu ilimradi na sisi tupate upeoKabla ujasomq hicho chuo ,ukishapata admission, neda kwenye website ya TCU jaza form za kuomba letter of no objection .Ukipata inamaana hakuna shida nenda kasome ,ukikosa nenda kaulize sababu na wanakushauri.Pia kila mwaka TCU na vyuo vya ndani na nje huwa wanafanya maonyesho mmnazi mmoja kwa ajili ya kuelimisha umma.Mwaka huu wakitangaza nitakujulisheni muende mpate kujua vyuo vinavyotambulika nk
Ila kwenye mahitaji ya kuverify cheti ulichokipata nje ya nchi, sijaona kipengele chochote wanachotaka uwaoneshe NO OBJECTION CERTIFICATE YAO waluokupatia kabla hujaenda kusoma huko nje ya nchi.Wanaangalia chuo utakachokwenda kusoma kama kina vigezo vinavyotambulika na TCU kutoa hiyo course /degree ,then wanaangalia qualification zako kama zinakidhi kusoma hiyo course ,then wanakupa hiyo letter on no objection.Ukirudi unaleta certificate /degree yako unaambatanisha na barua waliokupa ukasome ,then wanakutambua .Kama ni mwanasheria ,wanakuruhusu sasa uende school of law ili ukaweze kusajiliwa nchini, kama ni MD unaenda kufanya internship nk.Unajaza hiyo form online ,unaweka namba ya vyeti vyako ,unalipia 50,000 then after 5 days kama hakuna shiaa unapata barua yako .Kama shule au chuo hawakitambui wanaweza kukuomba details zaidi au wakawasiliana na chuo husika .Ila nivizuri ukaenda vyuo ambavyo tayari vinatambulikana na TCU
Ivi ata kwa medicine piaIla kwenye mahitaji ya kuverify cheti ulichokipata nje ya nchi, sijaona kipengele chochote wanachotaka uwaoneshe NO OBJECTION CERTIFICATE YAO waluokupatia kabla hujaenda kusoma huko nje ya nchi.
na kuna raia kibao tuu, ninaona wanaenda kusoma nje ya nchi bila kuwa na iyo NO OBJECTION CERTIFICATE na wakirudi vyeti vyao vinakuwa verified bila kuulizwa iyo NOC.
Yeah.Ivi ata kwa medicine pia