CBG ulipata je ndo criteria ya kwanza.Hello habari
Nilikua nauliza mtu ambaye ana bachelor degree moja na Advanced level alisoma CBG anaeza soma bachelor ingine ya afya mfano pharmacy , Radiotherapy, MD etc?
And je cheti cha bachelor kinaeza saidia kwenye admission kutokana na hio CBG?
Inawezekana?
Form six ulifauli je?Sijakuelewa mkuu
Chemistry na biology uli score jeNilipata Division 11.10
Sasa 2 ya 10 ndo uende degree ya Pharm? Serious ni chuo gani unataka uende??Ni passion and dream
I hope you had a dream,,,
Hongera sana..Ni passion and dream
I hope you had a dream,,,
Mie sijachukulia poa, ila nimeuliza kwa kuwa kuna competition sana, kuna mtu alipata 1 ya 9 na hata pharm hajaenda.Usiichukulie poa basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio rahisi
Usichague vyuo hivi, Bugando, Muhas, KCMC utakosa.Anhaaa sawa
Sasa mi nataka nifanye reverse