Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,048
- 2,449
Doh una moyo yaan ushasoma degree halaf unataka kusoma tena degree tena MD miaka mitano au sita huna kazi ya kufanya ndugu yang maisha yenyew mafupi haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes inawezekana hiyo pharmacy tena wahi mapema kabla hawajabadili vigezoAnhaa nina Bsc in Nutrition pia , je kusomea bachelor ingine tajwa hapo juu haiwezekani?
Nimesoma comment zote Mimi kwangu hakuna tunayefanana hata.Hello habari
Nilikua nauliza mtu ambaye ana bachelor degree moja na Advanced level alisoma CBG anaeza soma bachelor ingine ya afya mfano pharmacy , Radiotherapy, MD etc?
And je cheti cha bachelor kinaeza saidia kwenye admission kutokana na hio CBG?
Inawezekana?
''MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO"Doh una moyo yaan ushasoma degree halaf unataka kusoma tena degree tena MD miaka mitano au sita huna kazi ya kufanya ndugu yang maisha yenyew mafupi haya
Kwa iyo ww n dr na engineer kwa pamoja''MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO"
Nilisoma Engineering nikasoma tena Medicine (MD).Yeye siyo wa kwanza
Asante kwa kutupa moyo,Nimesoma comment zote Mimi kwangu hakuna tunayefanana hata.
Kwangu Iko hivi...!
Ndoto yangu ilikuwa kuwa daktari na sasa nimetimiza baada ya miaka kadhaa kupita sikukata tamaa kamwe niliamini ndoto yangu siku moja itatimia na sasa imetikia.
1.Kidato cha sita nilichaguliwa PCM badala ya PCB na shule nilichaguliwa haikuwa na tahasusi ya PCB baba alifariki nikiwa kidato cha tano nikakosa wa kunipambania nihame shule yenye tahasusi ya PCB .Ikabidi nikubali kuendelea na PCM
Kibwagizo "MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO"
2.PCM nikafaulu nikachaguliwa kusoma Electronics Engineering.Nikamaliza miaka minne wakati huo ndoto ya udaktari bado Ipo !
"MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO"
3.Nikapata kazi kama mhandisi wa vifaa tiba (Medical Electronics Engineer) ,wakati naendelea kufanya kazi nakatafu chuo cha diploma in clinical medicine ,Nilisoma huku ninafanya kazi ya uhandisi haikuwa rahisi lakini nilijinyima muda na starehe nyingine zote.

4.Uhandisi pamoja na kuwa ulikuwa unalipa lakini sikuwahi kuufurahi ,.Baada ya kumaliza diploma ya utabibu niliacha kazi ya uhandisi na kwenda serikalini na kuajiliwa kama" CLINICAL OFFICER"
Niliacha mshahara wa TSH 1.0M na kwenda kwenye mshahara wa TSH 0.5M
Wengi walinicheka sana na ndugu wengine waliniona tahira na wakaacha kuongea na Mimi ,.Wakasahau nilivyowalilia iliwanisaidia kuhamia shule yenye PCB wanakataa

5.Nikiwa kazini niliomba ruhusa ya kwenda kusoma MD (5yrs) wakati huo nina mwaka mmoja kazini kama AFISA TABIBU (CLINICAL OFFICER ).Afisa utumishi akaniambia hawezi kuniruhusu kwakuwa sijatimiza vigezo ,nikaambiwa nitoe shilingi milioni 1 aniruhusu .Nikaenda banki kukopa TSH 12M nikachukua TSH 1M nikampa Afisa utumishi .TSH 10M zote nikalipa ada ya miaka 2,miaka mingine iliyobaki nitajua mbele ya safari

6.Kwa shida sana MD nikamaliza ,nikaenda Internship nikarudi kazini nikapewa kwanza kuwa Mganga mfawidhi wa hospitali
"MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO
7.Kwa sasa ni PhD (candidate) , Neuroanatomy
Nimesoma comment zote Mimi kwangu hakuna tunayefanana hata.

Dah hongera broh ila itakuwa ulitumia mda mwingi kusoma but kitu kizur ulikuwa kwenye system imekuwa rahis kuliko hayo mambo ufanye hauko kwenye system wallah utaja kufa kwa presha trust me ukiwa kwenye system unaweza soma chochote ukipendachoNimesoma comment zote Mimi kwangu hakuna tunayefanana hata.
Kwangu Iko hivi...!
Ndoto yangu ilikuwa kuwa daktari na sasa nimetimiza baada ya miaka kadhaa kupita sikukata tamaa kamwe niliamini ndoto yangu siku moja itatimia na sasa imetikia.
1.Kidato cha sita nilichaguliwa PCM badala ya PCB na shule nilichaguliwa haikuwa na tahasusi ya PCB baba alifariki nikiwa kidato cha tano nikakosa wa kunipambania nihame shule yenye tahasusi ya PCB .Ikabidi nikubali kuendelea na PCM
Kibwagizo "MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO"
2.PCM nikafaulu nikachaguliwa kusoma Electronics Engineering.Nikamaliza miaka minne wakati huo ndoto ya udaktari bado Ipo !
"MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO"
3.Nikapata kazi kama mhandisi wa vifaa tiba (Medical Electronics Engineer) ,wakati naendelea kufanya kazi nakatafu chuo cha diploma in clinical medicine ,Nilisoma huku ninafanya kazi ya uhandisi haikuwa rahisi lakini nilijinyima muda na starehe nyingine zote.
"MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO"
4.Uhandisi pamoja na kuwa ulikuwa unalipa lakini sikuwahi kuufurahi ,.Baada ya kumaliza diploma ya utabibu niliacha kazi ya uhandisi na kwenda serikalini na kuajiliwa kama" CLINICAL OFFICER"
Niliacha mshahara wa TSH 1.0M na kwenda kwenye mshahara wa TSH 0.5M
Wengi walinicheka sana na ndugu wengine waliniona tahira na wakaacha kuongea na Mimi ,.Wakasahau nilivyowalilia iliwanisaidia kuhamia shule yenye PCB wanakataa
"MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO"
5.Nikiwa kazini niliomba ruhusa ya kwenda kusoma MD (5yrs) wakati huo nina mwaka mmoja kazini kama AFISA TABIBU (CLINICAL OFFICER ).Afisa utumishi akaniambia hawezi kuniruhusu kwakuwa sijatimiza vigezo ,nikaambiwa nitoe shilingi milioni 1 aniruhusu .Nikaenda banki kukopa TSH 12M nikachukua TSH 1M nikampa Afisa utumishi .TSH 10M zote nikalipa ada ya miaka 2,miaka mingine iliyobaki nitajua mbele ya safari
"MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO"
6.Kwa shida sana MD nikamaliza ,nikaenda Internship nikarudi kazini nikapewa kwanza kuwa Mganga mfawidhi wa hospitali
"MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO
7.Kwa sasa ni PhD (candidate) , Neuroanatomy
Safi chiefNimesoma comment zote Mimi kwangu hakuna tunayefanana hata.

Kwako ww mtu wa mifugo haiwezekan hata siku moja zmn ilikuwa inawezekana ila kwa ss TCU wamebadili haiwezekan kamwe ww utakuwa dr wa mifugo tu maisha yako yoteSafi chief
Good inspiration
Mimi ni wa mifugo nataka nije upande wa binadamu
Najua kwangu sio shida mana wote ni madokta
Acha nibaki huku Mgonjwa akinishindwa tunamchinja tunafanya mbogaKwako ww mtu wa mifugo haiwezekan hata siku moja zmn ilikuwa inawezekana ila kwa ss TCU wamebadili haiwezekan kamwe ww utakuwa dr wa mifugo tu maisha yako yote
Kwanza uko unakuwa free tofaut na u dr wa binadam me naona halaf mengine n sifa tu ss ivi fanya vitu upate hela bhas ndo mana kuna watu wapo radhi aache elimu yake afanye kitu apate hela hayo mambo ya kupoteza mda mwingi ili sijui uje upate milion 1.5 si ufala huoAcha nibaki huku Mgonjwa akinishindwa tunamchinja tunafanya mboga
Kabisa hujakoseaKwa iyo ww n dr na engineer kwa pamoja
Mbona kama una negative altitude alikwambia haiwezekani ni nani?Siyo lazima atumie cheti chake cha BVM njia ziko nyingi za kufikia ndoto .Mimi na Engineering na PCM yangu nimeweza yeye Bachelor of vertenary medicine (BVM) na CBG yake atashindwa kipiKwako ww mtu wa mifugo haiwezekan hata siku moja zmn ilikuwa inawezekana ila kwa ss TCU wamebadili haiwezekan kamwe ww utakuwa dr wa mifugo tu maisha yako yote
Sikiliza moyo wako !Usimsikilize yeyote .Anayesema haiwezekani ni kwako siyo kwako.Karibu sana medicineAcha nibaki huku Mgonjwa akinishindwa tunamchinja tunafanya mboga
Hiyo bachelor ni ya Nini?Hello habari