Duh! hivyo ni vyuo vya KATA? MUHAS wametia akili sasa mambo ya kufelishana na wale sungu sungu kwishney!! Division III kwa PCB ni sifa ya kusoma MD or MBBS ninawajua watanzania rafiki zangu A level PCB walipata division III na waksoma hapo Upanga Magharibi leo wengine wana PHD za UK!! Jamani kufelishwa haina maana CHUO ni bora ni UKIRITIMBA tu waliokuwa wamejiwekea jamaaa zetu (sungu sungu) leo wamekatwa miguu kwa kuwepo Bugando, KCMC, IMTU, IFAKARA, UDOM na Hubert Kairuki Memorial University!!We dogo soma,hakuna tatizo kikubwa vyuo vyako vinatambuliwa na tcu,piga shule wewe,tumia hela za mzee hizo maana bongo udaktari ungeusikia kwenye magazeti na tv na hiyo cbg,na hata ungesoma pcb,na div three yako ungesoma vyuo vya kata,bugando,kcmc,ifakara,imtu,and it si like,upanga magharibi ungeisikia tu.
kasome tu ila ujue ukirudi Tanzania usifanye Intern Muhimbili maana hata medical students watakuwa wanakucheka sababu utakuwa shallow sana, kwa maana utakuwa hujui yaani unabahatisha kwenye Tropical diseases...kwa hiyo division yako hata Kairuki au IMTU ungesoma lakini sio Muhimbili. Kungekuwa na mtihani kwa wanaosomea udaktari nje wakirudi Tanzania wachache sana wangefaulu