kusomea udaktari nje ya nchi kwa mwaka 2013

kusomea udaktari nje ya nchi kwa mwaka 2013

eselungwi

Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
97
Reaction score
70
Ushauri wenu kaka zangu na dada zangu,mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza nasomea bsc in medical laboratory technology india, kabla ya kuingia hii faculty lengo langu langu lilikuwa kusoma mbbs, sikuapply tcu nlihofia wangenichagua faculty nyingine nje ya medical, A LEVEL nimesoma cbg nimepata div3 na o level nlifaulu pia, mwaka huu nimeapply ukrane nimepata vyuo viwili kusoma mbbs.

Je kunausumbufu gan nikija kurudi tz baada ya kugraduate ili ufanye kazi tanzania na utambulike inabidi upitie sehemu gan?
 
We dogo soma, hakuna tatizo kikubwa vyuo vyako vinatambuliwa na tcu, piga shule wewe, tumia hela za mzee hizo maana bongo udaktari ungeusikia kwenye magazeti na tv na hiyo cbg,na hata ungesoma pcb,na div three yako ungesoma vyuo vya kata, bugando, kcmc, ifakara, imtu,and it si like, uopanga magharibi ungeisikia tu.
 
We dogo soma,hakuna tatizo kikubwa vyuo vyako vinatambuliwa na tcu,piga shule wewe,tumia hela za mzee hizo maana bongo udaktari ungeusikia kwenye magazeti na tv na hiyo cbg,na hata ungesoma pcb,na div three yako ungesoma vyuo vya kata,bugando,kcmc,ifakara,imtu,and it si like,upanga magharibi ungeisikia tu.
Duh! hivyo ni vyuo vya KATA? MUHAS wametia akili sasa mambo ya kufelishana na wale sungu sungu kwishney!! Division III kwa PCB ni sifa ya kusoma MD or MBBS ninawajua watanzania rafiki zangu A level PCB walipata division III na waksoma hapo Upanga Magharibi leo wengine wana PHD za UK!! Jamani kufelishwa haina maana CHUO ni bora ni UKIRITIMBA tu waliokuwa wamejiwekea jamaaa zetu (sungu sungu) leo wamekatwa miguu kwa kuwepo Bugando, KCMC, IMTU, IFAKARA, UDOM na Hubert Kairuki Memorial University!!
 
kasome tu ila ujue ukirudi Tanzania usifanye Intern Muhimbili maana hata medical students watakuwa wanakucheka sababu utakuwa shallow sana, kwa maana utakuwa hujui yaani unabahatisha kwenye Tropical diseases...kwa hiyo division yako hata Kairuki au IMTU ungesoma lakini sio Muhimbili. Kungekuwa na mtihani kwa wanaosomea udaktari nje wakirudi Tanzania wachache sana wangefaulu
 
kasome tu ila ujue ukirudi Tanzania usifanye Intern Muhimbili maana hata medical students watakuwa wanakucheka sababu utakuwa shallow sana, kwa maana utakuwa hujui yaani unabahatisha kwenye Tropical diseases...kwa hiyo division yako hata Kairuki au IMTU ungesoma lakini sio Muhimbili. Kungekuwa na mtihani kwa wanaosomea udaktari nje wakirudi Tanzania wachache sana wangefaulu


hivi madaktari wa mhimbili ndio walipasua kichwa badala ya mguu, na mguu badala ya kichwa,ninachojua vyuo vyote bongo ni utumbo mtupu,watu wanasoma kushindana kukariri na sio kuelewa.
kwa afrika mashariki na kati vyuo vyenye unafuu kwa medicine ni nairobi universty na makerere,muh2 imealibiwa vibaya sana miaka ya 2000, baada ya kuchukua intake adi ya wanafunzi 200 wengine wana div3, huku chuo hakina miundo mbinu ya kutosha.
 
Back
Top Bottom