eselungwi
Member
- Mar 12, 2012
- 97
- 70
Ushauri wenu kaka zangu na dada zangu,mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza nasomea bsc in medical laboratory technology india, kabla ya kuingia hii faculty lengo langu langu lilikuwa kusoma mbbs, sikuapply tcu nlihofia wangenichagua faculty nyingine nje ya medical, A LEVEL nimesoma cbg nimepata div3 na o level nlifaulu pia, mwaka huu nimeapply ukrane nimepata vyuo viwili kusoma mbbs.
Je kunausumbufu gan nikija kurudi tz baada ya kugraduate ili ufanye kazi tanzania na utambulike inabidi upitie sehemu gan?
Je kunausumbufu gan nikija kurudi tz baada ya kugraduate ili ufanye kazi tanzania na utambulike inabidi upitie sehemu gan?