Kusomesha Watoto English Medium za Walimu wa Kitanzania ni Kupoteza Pesa

Hivi kina kina Mruma au Ndalichako walisoma English medium gani!?
Umeelewa concern yangu? Kwa taarifa Yako miaka waliyosoma wao huko shule za Umma English ilikuwa ni lazima na Wanafunzi Wakiwa shule ilikuwa lazima waongee English nadhani umejisahaukiwha na vibao vya speak English, English only nk

Pia walimu wao walikuwa na Kingereza kizuri.Sasa hivi unasoma English Medium za kishenzi za hao walimu wa the the ndio eti uje kuwa na fluent English thubutu
 
Watoto wanaongea kiingereza kibovu kama walimu wao. Walimu wenyewe ni hawa hawa wenye diploma flat za hapapa bongo kiingereza kinawapa shida kuongea fluentlly, watawezaje kufundisha watoto? Hizo diploma za kufundishia wanazijua wenyewe tu kwa kufauli mtihani na kupewa cheti ila kichwani ni watupu
Hujakutana wewe na walimu waliosoma vyuo vya private wenye certificate au diploma in primary education utachuchumaa chini

Kitoto chekechea tu kinamwaga kingereza kuliko aliyemaliza form six shule ya serikali
 
Tanzania Ina shida kubwa ya Walimu mahiri wa Kingereza.

Sasa kusomesha Watoto kwenye shule za English Medium za Kibongo ambazo walimu ndio hao wa 'the' nk ni kupoteza pesa maana mwisho wa siku ataishia kuwa kama kina Mruma au Ndalichako.

Kama umeamua kusomesha mtoto kwenye hizo shule ambapo wengi wa wazazi wanalenga mtoto ajue lugha basi aende kwenye shule Zenye walimu wa kigeni kama Waganda,Kenya au Zimbabwe au Zambia nk vinginevyo utapata hasara mara mbili.
Labda nikuulize kwa nini shule za English medium mfano za shule za msingi ndizo huongoza kitaifa wakati wLimu wake.wote ni watanzania hizo zenye waganda na wajenya mbona huwa haziko kwenye top list mitihani kitaifa?
 
Tanzania Ina shida kubwa ya Walimu mahiri wa Kingereza.

Sasa kusomesha Watoto kwenye shule za English Medium za Kibongo ambazo walimu ndio hao wa 'the' nk ni kupoteza pesa maana mwisho wa siku ataishia kuwa kama kina Mruma au Ndalichako.

Kama umeamua kusomesha mtoto kwenye hizo shule ambapo wengi wa wazazi wanalenga mtoto ajue lugha basi aende kwenye shule Zenye walimu wa kigeni kama Waganda,Kenya au Zimbabwe au Zambia nk vinginevyo utapata hasara mara mbili.
Zambia wana English mbovu zaidi ya Tanzania. Sio kila ukiona nchi ya nje unadhani ina ubora kuliko Tanzania
 
Umeelewa concern yangu? Kwa taarifa Yako miaka waliyosoma wao huko shule za Umma English ilikuwa ni lazima na Wanafunzi Wakiwa shule ilikuwa lazima waongee English nadhani umejisahaukiwha na vibao vya speak English, English only nk

Pia walimu wao walikuwa na Kingereza kizuri.Sasa hivi unasoma English Medium za kishenzi za hao walimu wa the the ndio eti uje kuwa na fluent English thubutu

Mwaka gani huo unaousemea walisoma kwa kiingereza?
 
Umeelewa concern yangu? Kwa taarifa Yako miaka waliyosoma wao huko shule za Umma English ilikuwa ni lazima na Wanafunzi Wakiwa shule ilikuwa lazima waongee English nadhani umejisahaukiwha na vibao vya speak English, English only nk

Pia walimu wao walikuwa na Kingereza kizuri.Sasa hivi unasoma English Medium za kishenzi za hao walimu wa the the ndio eti uje kuwa na fluent English thubutu
Wewe labda kama ulipeleka mwanao shule mbovu utajijua

Ziko shule za Serikali English medium ziko nyingi ziko vizuri mno ni pure English medium

Mwanao kama ulipeleka shule mbovu jilauku mwenyewe

Mfano hata International schools za kimataifa sio zote nzurii zingine unalipa ada milioni 30 kwa mwaka ,Waliku wanatokq mataifa mbalimbali ukija mtihani wa kimataifa mfano wa Cambridge wanaishia asilimia kubwa mkiani na matokeo yanayoweza kukuliza usiamini matokeo kuwa pesa yote nimemwaga matokeo ndio haya?

Mwanafunzi kusoma haendi kusoma kingereza pekee ondoa utoto wako humu
Lengo la elimu kusomesha mtoto sio tu awe fluent kwenye kingereza tu

Hujui hata maana ya elimu au maana ya mtoto.kusoma ni nini

Kama lengo lako ni ajue kingereza tu hujielewi kama mzazi
 
Mimi tuu nimekutana na mazingira ya shule Zenye nafuu za bwenu sembuse wao wakifundishwa na walimu dizaini ya kina Nyerere ambao English walikuwa wanaijua?

Ndalichako kazaliwa 1964 kama kusoma primary na secondary ni 1970s to late 1980s na wakati ndio wakati wa UPE sasa hiyo English medium sijui
 
Sijasema wamesoma English Medium uwe unaelewa Bali miaka Yao hiyo wakisoma walimu walikuwa vizuri kiasi kwenye lugha kuliko wa Sasa ambao wapo huko kwenye English Medium.

Natolea mfano Mimi Nina A kwenye English nikipeleka huko kwenye shule zenu watanipa kazi ila English yangu ni hiyo the the,nimeenda kwenye hizi shule nafahamu nachoongea.
 
Wewe labda kama ulipeleka mwanao shule mbovu utajijua

Ziko shule za Serikali English medium ziko nyingi ziko vizuri mno ni pure English medium

Mwanao kama ulipeleka shule mbovu jilauku mwenyewe

Mfano hata International schools za kimataifa sio zote nzurii zingine unalipa ada milioni 30 kwa mwaka ,Waliku wanatokq mataifa mbalimbali ukija mtihani wa kimataifa mfano wa Cambridge wanaishia asilimia kubwa mkiani na matokeo yanayoweza kukuliza usiamini matokeo kuwa pesa yote nimemwaga matokeo ndio haya?

Mwanafunzi kusoma haendi kusoma kingereza pekee ondoa utoto wako humu
Lengo la elimu kusomesha mtoto sio tu awe fluent kwenye kingereza tu

Hujui hata maana ya elimu au maana ya mtoto.kusoma ni nini

Kama lengo lako ni ajue kingereza tu hujielewi kama mzazi
Walimu ni wale wale wa The The hamna kitu
 
Taja hizo shule mkuu.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom