Sio kweli mtoa mada;
Nina Vitoto vyangu vina miaka kadhaa huko English Medium lakini Lugha walivyoi- master utasema ni Graduates wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam aliyesomea Linguistics
Na Kiingereza changu cha Yes -You Know kama Cha Prof. Mruma hadi natumia Dictionary kuweza kuwasiliana naye wakirudi Likizo.
Tutafute Hela ili tusomeshe Watoto wetu shule nzuri ambapo watamaliza na Maarifa pamoja na kuwa na Uelewa wa kuzungumza Lugha ya Kiingereza kwa Ufasaha bila kumung'unya Maneno ile Aam ....amm, yeah....you know ....