Kusomesha Watoto English Medium za Walimu wa Kitanzania ni Kupoteza Pesa

Nakubaliana na wewe moja kwa moja, shule za kibongo hzi mtoto kuunda sentence nzuri ambayo haijirudii maneno ni changamoto.
 
Sio kweli mtoa mada;

Nina Vitoto vyangu vina miaka kadhaa huko English Medium lakini Lugha walivyoi- master utasema ni Graduates wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam aliyesomea Linguistics

Na Kiingereza changu cha Yes -You Know kama Cha Prof. Mruma hadi natumia Dictionary kuweza kuwasiliana naye wakirudi Likizo.

Tutafute Hela ili tusomeshe Watoto wetu shule nzuri ambapo watamaliza na Maarifa pamoja na kuwa na Uelewa wa kuzungumza Lugha ya Kiingereza kwa Ufasaha bila kumung'unya Maneno ile Aam ....amm, yeah....you know ....
 

Jina la shule.

-Kaveli-
 
Huwezi pata wanafunzi bora bila kuwa na walimu bora
 
Mwanangu juzi nimeona mtihani wake kaniandikia essay hyo Mimi sijaandika kuanzia form 1 mpk form 4
Kiukweli hizo hizi za ada 3m.. n.k ziko vzr
Yaani anajua kuandika mpk naona raha
 
Mwanangu juzi nimeona mtihani wake kaniandikia essay hyo Mimi sijaandika kuanzia form 1 mpk form 4
Kiukweli hizo hizi za ada 3m.. n.k ziko vzr
Yaani anajua kuandika mpk naona raha
Hongera Mkuu,

Hizo shule wako vizuri sana, nilishangaa mtoto wangu wa class II anajua kuhusu HIV in -outs tena unaweza kukuta kuliko watu wazima.

Anasema kama mna share Miswaki unaweza kupata HIV

======

Ngoja niendelee kutafuta hela kwaajili yao, sitaki lawama miye 🤗
 
Wote tunaopondea English medium schools hatuna savings hata ya laki 3 Kwa mwezi baada ya matumizi.


Vijana tafuteni Hela mpunguze chuki za kifala
 
Mtoa post ana kitu huyu asipuuzwe,
 
Ila waalim jamani, eti hata r na l inawashinda kutamka.
 
Wengine tulisoma saint kayumba, Kidumu na fagio,
Lakini kizungu chetu hata Prof Mruma haoni ndani!
Huko English medium ni mtoto apate msingi mzuri wa lugha kwanza, kubobea kwenye lugha, ni kujifunza mwenyewe,kule Zenj, kuna beach Boys, wanapiga kizungu, kileno, kifaransa, na, hawajamaliza hata LA, saba!!
 
Mrindoko Ni mpare.
Wapare wanaweka ubahili mbele akili inafuata nyuma.

Sishangai Kama kauli hiyo imetoka kwa mpare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…