BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,246
Kuna kitu cha kujifunza nimeona nigawane nanyi
Unapoamua kusomesha watoto wa ndugu zako...hakikisha na wa kwako umewandalia mazingira mazuri kwa ajili ya mbelen
Kuna mdingi ametoa ushuhuda leo...kasomesha watot wa dada zake mpaka wamepata kazi wizarani huko....huku wanae akiwatenga kwa maneno kuwa hawana akili ya kusoma na hao anaowasomesha ndio watakaomsaidia mbeleni..(na hapo ukumbuke hao watoto wana baba zao)
Alowasomesha wakapata kazi nzuri tu...wanae wakajichanganya kweny boda boda...!!
Now anaumwa mno...alowasomesha hata mguu hawajatia kwake....wanae ndio wanapokezana kumbeba kwenye pikipiki zao na kumsimamia kwenye biashara zake ndog ndogo
Alowasomesha wapo bize na ndugu zao...
Wema usizidi uwezooo