Kuna kitu cha kujifunza nimeona nigawane nanyi
Unapoamua kusomesha watoto wa ndugu zako...hakikisha na wa kwako umewandalia mazingira mazuri kwa ajili ya mbelen
Kuna mdingi ametoa ushuhuda leo...kasomesha watot wa dada zake mpk wamepata kazi wizarani huko....huku wanae akiwatenga kwa maneno kuwa hawana akili ya kusoma na hao anaowasomesha nd watakaomsaidia mbeleni..(na hapo ukumbuke hao watoto wana baba zao)
Alowasomesha wakapata kazi nzuri tu...wanae wakajichanganya kweny boda boda...!!
Now anaumwa mno...alowasomesha hata mguu hawajatia kwake....wanae nd wanapokezana kumbeba kweny pikpik zao na kumsimamia kweny biashara zake ndog ndogo
alowasomesha wapo bize na ndugu zao...
Wema usizid uwezooo