Unaweza usishinde piaMwamini MUNGU utashinda
Nimechekaš¤£Li kichwa likuuuubwa ka mwili kadogo..!
Sema mwanangu hapa kwenye kupata hela nashindwa kutunza umenigusa bado sikati tamaa naendelea kutafta njia sahihi ya kusave helahii ni maalum kwa wanaoamini sana misemo ya yatapita, mwisho wa giza kuna nuru, n.k.
dunia ni katili sana
Si kila hali ngumu huwa inapita
wapo watu wamesota sana shuleni lakini hawajapata ajira na wanachokiweza zaidi ni kazi walizosomea
wapo watu wame haso sana kwenye biashara lakini hakuna maendeleo, pesa inaishia kula
wapo watu wema wamebambikiziwa kesi wanatumikia vifungo vya maisha
MUNGU hashindwi mtumish piga goti umwone BWANA YESU KRISTO alivyo mzuriUnaweza usishinde pia