Kusota kwenye maisha haimaanishi kuwa baadae utatoboa, unaweza kudumu na hali hio au iwe mbaya zaidi, si kila msoto una nuru.

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
hii ni maalum kwa wanaoamini sana misemo ya yatapita, mwisho wa giza kuna nuru, n.k.

dunia ni katili sana

Si kila hali ngumu huwa inapita

wapo watu wamesota sana shuleni lakini hawajapata ajira na wanachokiweza zaidi ni kazi walizosomea

wapo watu wame haso sana kwenye biashara lakini hakuna maendeleo, pesa inaishia kula

wapo watu wema wamebambikiziwa kesi wanatumikia vifungo vya maisha
 
Ukipambana na ukiwa na nidhamu na unachokifamyaa hata pesa itajitengeneza yenyeweee ..

Acha kukata tamaa wkt Bado pumzi haijakata na huna maradhii
 
Badilisha mtizamo,namna ambavyo maisha yanaenda inakutegemea wewe kwa kiasi kikubwa una vibe/mood gani?
 
hii ni maalum kwa wanaoamini sana misemo ya yatapita, mwisho wa giza kuna nuru, n.k.

dunia ni katili sana

Si kila hali ngumu huwa inapita

wapo watu wamesota sana shuleni lakini hawajapata ajira na wanachokiweza zaidi ni kazi walizosomea

wapo watu wame haso sana kwenye biashara lakini hakuna maendeleo, pesa inaishia kula

wapo watu wema wamebambikiziwa kesi wanatumikia vifungo vya maisha
Sema mwanangu hapa kwenye kupata hela nashindwa kutunza umenigusa bado sikati tamaa naendelea kutafta njia sahihi ya kusave hela
 
Back
Top Bottom