Kussah, underated artist...tofauti na uzuri wa kazi zake

Tatizo anatembea ni mishangazi yenye majina makubwa kuliko yeye (pan intended) kiasi cha kumezwa na umaarufu wa anaetembea nao.

Anajulikana zaidi kama mwanaume wa fulani kuliko kuwa mwanamuziki.
Mnh.. ! Yani anaishi na WA MAMA ..!? Lakini mbona havina uhusiano na kazi zake. Anahitaji management nzuri..
 
Ila ngoma ya "i wish" dogo alitulia aiseee

kWa mara ya kwanza wakati anaiimba kwenye birthday ya huyo jimama lake niliichukulia poa,nikahis labda ni vibe la pombe tu na kuimba live kumbe sio baada ya muda hii ngoma niliipenda mpaka leo

Na huu ugumu wangu wa kupendelea zaidi hiphop lakin nimeiweka kama ringtone

NI wasanii wachache sana wanaoweza kuwaambia wimbo wa furaha wapenz wao na ukahit
 
Inawezekana wema ana K tamu ee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…