Kussah, underated artist...tofauti na uzuri wa kazi zake

Kussah, underated artist...tofauti na uzuri wa kazi zake

Tatizo anatembea na mishangazi (pun intended) yenye majina makubwa kuliko yeye kiasi cha kumezwa na umaarufu wa anaotembea nao.

Anajulikana zaidi kama mwanaume wa fulani kuliko kuwa mwanamuziki.
Marioo yule anategemea majina ya mashangazi kungara kwenye mziki,so hajiamini 😅Kama mimi nikimwona nawaza bwana ake rubi au ant huyu hapa 😅😅tunaona kulelewa zaidi kuliko huo mziki wake,hana tofauti na nuhu mziwanda,na akiachwa na anti ndo mziki wake utaishia hapo
 
Ni kweli, lakini mziki kutofika kwa wadau havina mahusiano..
Vina mahusiano sana, hawezi kuchukiliwa kama ni serious music artist kwa kuwa media anamtambua zaidi kama kiben-ten na si kama artist. Media ndiyo hum-shape, humjenga, humbomoa, husababisha aonekane haiba fulani yaani every factor kwenye showbiz zina direct impact kwenye kazi za msanii. Hilo haliepukiki japo sijui hapa kama hilo jishangazi linasababisha awe kwenye limelight au linasababisha apotee.
 
Tatizo anatembea na mishangazi (pun intended) yenye majina makubwa kuliko yeye kiasi cha kumezwa na umaarufu wa anaotembea nao.

Anajulikana zaidi kama mwanaume wa fulani kuliko kuwa mwanamuziki.
Mna ugomvi na shangazii Ezekiel. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom