Kusudi la Mungu linaweza kusababisha matatizo makubwa kwa wengine wakauawa au wakapoteza vitu vya thamani

Ubarikiwe sana mtumishi💗
 
We amini unachoamini na mtoa mada aamini anachoamini. Shinda mechi zako !
 
Ni sehemu tu ya kuonekana kua huna akili.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nakuombea upate neema hii ya wokovu.
Naongezea tu mkuu; Herode wa kwenye Biblia alishakufa lakini siku hizi Herode ni wengi sana e.g. Wale ambao hapa jamvini kwenye hii mada wanapinga na kukebehi ikiwa ni mojawapo ya harakati za kuliua/kulizima Neno uliloweka hapa; yani hawaoni kama kuna chochote au lolote wanaloweza kujifunza hapo. Herode na kundi lake(Watawala/Chawa wa Herode) tunaambiwa walijawa na Taharuki ya wivu wa madaraka yake (Cheo cha Ufalme)kuchukuliwa na huyo Mfalme aliyezaliwa. Wameshindwa hata kujifunza tu kwamba mafanikio ya mtu au maendeleo yake katika Jamii siku zote huambatana na Fitina na anaweza kudhulumiwa hata uhai wake kutokana na husda ya wivu au hofu ya wengine kukosa hicho alichopata kama baraka au neema.
 
Ubarikiwe sana rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…