Kusuka kwa Wamasai Basi ....

NIMPENDENANI

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
6,114
Reaction score
5,391
Habari Wana Chit-Chat,

Naomba kuuliza Wanawake wenzangu, Nilimuona Shogangu kasuka zile nywele za kimasai nikazipenda sanaa sasa nikasema niende na kwakweli sijasuka nna miaka kama 10 sababu mr Hataki This time nikamuomba akakubali baada ya miaka 10 ilikua kama bahati.

Kwakua nyewele zangu ndefu sikuhitaji rasta zakuongezea,haya shosti akanipitia J'pili tukaenda kufika macho yakanitoka kumbe wasusi wanaume wa kimasai nikamuliza mbona wanaume kasema ndio wanaojua wacha ushamba wako haya akaongea nao nikaanza kusukwa mmmmmhhh

Wamenizunguka Wamasai wa 5 sasa ule mkao wao yani wanakugusa na madudu yao huyu na wako busy kuongea kikwao sielewi wanasema nini,shoga nae hayupo,mbaya zaid vikoi vyao vinanuka hatari, nilistahmili kama nusu saa simu yangu ilipoita nikawambia waniache, nilipomaliza simu nikawambia ntarudi baadae nikatoa elfu 20 nikasema nakuja waendele na mteja mwengine mpaka nikirejea sikurejea tenaa.

Sasa niulize wadada mnaosuka ivi hii imenitokea mimi tuu au hawa wamasai ndio TABIA YAO?
 
...kama hayo "madudu" yanakugusa tu lkn hayakung'ati rudi ukamalizie kusukwa coz mimi siona kama kunashida yoyote...
mmmmm shida ipo tena kubwa, nimesamehe na pesa,nakusukwa ndio basi ntabakia na nywele zangu hizi hizi..
 
duh ata mi nisinge himili ile harufu huwaga wawili au 3 sas we 5 duh, alaf hayo madudu yao si unawaambia ukwel tu wayabane yanakuboa??? kuw wazi,.
 
duh ata mi nisinge himili ile harufu huwaga wawili au 3 sas we 5 duh, alaf hayo madudu yao si unawaambia ukwel tu wayabane yanakuboa??? kuw wazi,.
Yani nilikua naona dhiki nafsi yangu nilitamani kulia na ile harufu,halafu wanasema kikwao sifahamu
basi tafrani .....
 
duh ata mi nisinge himili ile harufu huwaga wawili au 3 sas we 5 duh, alaf hayo madudu yao si unawaambia ukwel tu wayabane yanakuboa??? kuw wazi,.
mmmm shosti Aibu naanzaje kusema maneno hayo? kua madudu yenu yafungeni,tena yanagusaaa marefuuuuuu ptuuuuu!!!
staki hata kukumbuka..
 
duh ata mi nisinge himili ile harufu huwaga wawili au 3 sas we 5 duh, alaf hayo madudu yao si unawaambia ukwel tu wayabane yanakuboa??? kuw wazi,.
Wewe ungeweza kuwaambia wayafunge? Basi hekima huna aisee lol
 
Ungewapulizia manukato tu ukaendelea kusuka
 
So, kumbe masai jaliwa madudu eeh???
watajua wenyewe na balaa lao hawana hata haya, wanaume wazima waso vaa suruali kama wenzao wanaume wa DAR,wao vikoi vikoi na wao...
 
Ninaimani ulithaminisha na saizi pia. hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…