NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,391
- Thread starter
- #21
Ahsante mwaya na nimesema sisukwi tena hata na mwanamke staki tena ntabaki na nywele zangu hivi hivi,naiwe basi..Pole kwa usumbufu,
You sound decent....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mwaya na nimesema sisukwi tena hata na mwanamke staki tena ntabaki na nywele zangu hivi hivi,naiwe basi..Pole kwa usumbufu,
You sound decent....
Wanaume wa daslam tena ohoooowatajua wenyewe na balaa lao hawana hata haya, wanaume wazima waso vaa suruali kama wenzao wanaume wa DAR,wao vikoi vikoi na wao...
sio lilonipeleka hilo lengo langu kusukwa,na laitani angenambia wanaume kwanza nisinge kubali na hata MumewanguNinaimani ulithaminisha na saizi pia. hahaha
Angalau wanavaa Suruali hawatembei na Vikoi,wala wamasai balaa walokua nalo si dogo..Wanaume wa daslam tena ohoooo
harufu ningestahmili sababau wao nibinadamu lakini yale madudu kunigusa gusa mie mmmmm,halafu sasa ukisogea huku
liko ukirudi nyuma lipo,pembeni jengine linagusa bega yani it was BAD....
Noomba usome vizuri,mumewangu hakutaka nisuke hata sikumoja sababu nywele zangu ndefu sanaKwani mwanzoni kabla ya hiyo miaka kumi ulipokuwa unakwenda hali haikuwa hivyo, au umesahau wak=livyokuwa wanakugusagusa na madudu yao? Ingefaa urudi tena labda umesahau raha ulokuwa unaipata zamani. Halafu kwa nini mumeo alikukataza, kwani nae anajua kinachofanyika kwa wamasai?
Vile vile inavyoonekana shoga yako anapenda saaaana kuguswaguswa na madudu pia anapenda harufu ya kiume.
Mungu aninusuru,hili na jengine...Bora umekimbia maana yale madudu yangeanza kukupa amsha amsha baadae ingekua balaa
Ndio haiwezekani kuwabadilishia ili kuwapa vibamia uamuzi uliouchukua inabidi uheshimiwe.mmmm shosti Aibu naanzaje kusema maneno hayo? kua madudu yenu yafungeni,tena yanagusaaa marefuuuuuu ptuuuuu!!!
staki hata kukumbuka..
Habari Wana MMU,
Naomba kuuliza Wanawake wenzangu,
Nilimuona Shogangu kasuka zile nywele za kimasai nikazipenda sanaa
sasa nikasema niende na kwakweli sijasuka nna miaka kama 10 sababu mr Hataki
This time nikamuomba akakubali baada ya miaka 10 ilikua kama bahati..
Kwakua nyewele zangu ndefu sikuhitaji rasta zakuongezea,haya shosti akanipitia
J"pili tukaenda kufika macho yakanitoka kumbe wasusi wanaume wa kimasai
nikamuliza mbona wanaume kasema ndio wanaojua wacha ushamba wako
haya akaongea nao nikaanza kusukwa mmmmm wamenizunguka Wamasai wa 5
sasa ule mkao wao yani wanakugusa na madudu yao huyu na wako busy kuongea kikwao
sielewi wanasema nini,shoga nae hayupo,mbaya zaid vikoi vyao vinanuka hatari,
nilistahmili kama nusu saa cm yangu ilipoita nikawambi waniache, nilipomaliza cm nikawambia
ntarudi baadae nikatoa elfu 20 nikasema nakuja waendele na mteja mwengine mpaka nikirejea
sikurejea tenaa...
Sasa niulize wadada mnaosuka ivi hii imenitokea mimi tuu au hawa wamasai ndio TABIA YAO?
Ulitaka vya rahisi nenda ndio saba. Mbona kuna mabinti wanasuka vizuri sana hizo nywele kindondoni ila bei yake ni ndefu ingawa unapendeza kweli. ukipenda vya rahisi ndio mambo kama hayoHabari Wana MMU,
Naomba kuuliza Wanawake wenzangu,
Nilimuona Shogangu kasuka zile nywele za kimasai nikazipenda sanaa
sasa nikasema niende na kwakweli sijasuka nna miaka kama 10 sababu mr Hataki
This time nikamuomba akakubali baada ya miaka 10 ilikua kama bahati..
Kwakua nyewele zangu ndefu sikuhitaji rasta zakuongezea,haya shosti akanipitia
J"pili tukaenda kufika macho yakanitoka kumbe wasusi wanaume wa kimasai
nikamuliza mbona wanaume kasema ndio wanaojua wacha ushamba wako
haya akaongea nao nikaanza kusukwa mmmmm wamenizunguka Wamasai wa 5
sasa ule mkao wao yani wanakugusa na madudu yao huyu na wako busy kuongea kikwao
sielewi wanasema nini,shoga nae hayupo,mbaya zaid vikoi vyao vinanuka hatari,
nilistahmili kama nusu saa cm yangu ilipoita nikawambi waniache, nilipomaliza cm nikawambia
ntarudi baadae nikatoa elfu 20 nikasema nakuja waendele na mteja mwengine mpaka nikirejea
sikurejea tenaa...
Sasa niulize wadada mnaosuka ivi hii imenitokea mimi tuu au hawa wamasai ndio TABIA YAO?
mmmmm shida ipo tena kubwa, nimesamehe na pesa,nakusukwa ndio basi ntabakia na nywele zangu hizi hizi..
Mbona huwa unayanyonya ayo madudu kwani husikiagi harufu? ?
Wallah basi nimekomaaa..Kama mmeo anavyota usisuke!!!!!!!!!!
Mmmmh,hata sijui wengine wanasukwaje mpaka wanamaliza na tafrani hii..Unaogopa hao nyoka ? Pole sana
Shosti Pesa haijakua Tatizo Alhamdulillah namshukuru mwenyezi mungu kwa hilo,ila yule shogangu ndio aliposuka huko kwa wamasai na mie hata saloon mara moja moja sana kwenda,hua tuna mdada anafanya kazi saloon anakuja kutufanyiaUlitaka vya rahisi nenda ndio saba. Mbona kuna mabinti wanasuka vizuri sana hizo nywele kindondoni ila bei yake ni ndefu ingawa unapendeza kweli. ukipenda vya rahisi ndio mambo kama hayo
lol pangekua hapatoshiii.......Najaribu Ku imagine pale angekuwa ananyolewa mwanaume halafu kazun
gukwa na NDITO hao watano huku ngomosi ziko wazi hahaha nadhani hao ndito wangekuwa mamilionea hahahahah