Kusuka kwa Wamasai Basi ....

Kusuka kwa Wamasai Basi ....

harufu ningestahmili sababau wao nibinadamu lakini yale madudu kunigusa gusa mie mmmmm,halafu sasa ukisogea huku
liko ukirudi nyuma lipo,pembeni jengine linagusa bega yani it was BAD....
hukupata genye maana huenda ilikua ni replica ya dudu ya mmeo😱😛
 
kwenye maelezo yako nimechukua maneno mawili harufu na madudu sasa ungependa turekebishe kitu gani dada ili tusikupoteze tena mteja wetu maana ktk wamasai watano mm nilikua mmoja wao nieleze ili tusirudie tena
ha ha ha. Walahi JF ina mambo! Ndio uwaeleze wenzako kuwa sio wanawake wote wanaopenda kuguswa na hayo majidudu, na hio harufu basi mtafutage vya kupaka/kupulizia😉
 
ha ha ha. Walahi JF ina mambo! Ndio uwaeleze wenzako kuwa sio wanawake wote wanaopenda kuguswa na hayo majidudu, na hio harufu basi mtafutage vya kupaka/kupulizia😉
Asante tutalifanyia kazi hilo ombi lako hakutokua na usumbufu tena wakuguswa na hayo majidudu pia tutajitaidi kuzibiti harufu
 
kwenye maelezo yako nimechukua maneno mawili harufu na madudu sasa ungependa turekebishe kitu gani dada ili tusikupoteze tena mteja wetu maana ktk wamasai watano mm nilikua mmoja wao nieleze ili tusirudie tena

mkiingia biashara ya kusuka vaeni jeans
 
mmmmmm pale hata uwaogeshe Al Oud wale bado wananuka tuu,halafu harufi yao iko very strange ,kama mtindi si mtindi,mafusho si mafusho,mvuje si mvuje,yani haielewekiii,...
Nimpendanani, mh! Kweli kwa jina lako hilo, uliyosema yanastahili.
 
Shosti Pesa haijakua Tatizo Alhamdulillah namshukuru mwenyezi mungu kwa hilo,ila yule shogangu ndio aliposuka huko kwa wamasai na mie hata saloon mara moja moja sana kwenda,hua tuna mdada anafanya kazi saloon anakuja kutufanyia
kila kitu nyumbani sasa sijui hata wanakosuka vizuri wapi,na ilitokea kama ajali tuu..
ulienda wrong place, ukakutana na wrong service
 
mmmm shosti Aibu naanzaje kusema maneno hayo? kua madudu yenu yafungeni,tena yanagusaaa marefuuuuuu ptuuuuu!!!
staki hata kukumbuka..
Halafu hawavai suruali wala chupi, yanakuwa kama ya ng,ombe.
 
Habari Wana MMU,
Naomba kuuliza Wanawake wenzangu,
Nilimuona Shogangu kasuka zile nywele za kimasai nikazipenda sanaa
sasa nikasema niende na kwakweli sijasuka nna miaka kama 10 sababu mr Hataki
This time nikamuomba akakubali baada ya miaka 10 ilikua kama bahati..
Kwakua nyewele zangu ndefu sikuhitaji rasta zakuongezea,haya shosti akanipitia
J"pili tukaenda kufika macho yakanitoka kumbe wasusi wanaume wa kimasai

nikamuliza mbona wanaume kasema ndio wanaojua wacha ushamba wako
haya akaongea nao nikaanza kusukwa mmmmm wamenizunguka Wamasai wa 5
sasa ule mkao wao yani wanakugusa na madudu yao huyu na wako busy kuongea kikwao
sielewi wanasema nini,shoga nae hayupo,mbaya zaid vikoi vyao vinanuka hatari,
nilistahmili kama nusu saa cm yangu ilipoita nikawambi waniache, nilipomaliza cm nikawambia
ntarudi baadae nikatoa elfu 20 nikasema nakuja waendele na mteja mwengine mpaka nikirejea
sikurejea tenaa...
Sasa niulize wadada mnaosuka ivi hii imenitokea mimi tuu au hawa wamasai ndio TABIA YAO?
Ndiyo ukome kabisa
 
harufu ningestahmili sababau wao nibinadamu lakini yale madudu kunigusa gusa mie mmmmm,halafu sasa ukisogea huku
liko ukirudi nyuma lipo,pembeni jengine linagusa bega yani it was BAD....
aisee kumbe masai wamejaaliwa! wanawake wa dar mnaliaga sana oooh dk hata 5 hazifiki mtu kamwaga..haya dada wamasai haoo na midudu yao! hao saa nzima wapo kazini ! nakuhakikishia itaridhika na kusuka utarud tena na tena na tena!
 
harufu ningestahmili sababau wao nibinadamu lakini yale madudu kunigusa gusa mie mmmmm,halafu sasa ukisogea huku
liko ukirudi nyuma lipo,pembeni jengine linagusa bega yani it was BAD....
[emoji3] [emoji3]
 
[
aisee kumbe masai wamejaaliwa! wanawake wa dar mnaliaga sana oooh dk hata 5 hazifiki mtu kamwaga..haya dada wamasai haoo na midudu yao! hao saa nzima wapo kazini ! nakuhakikishia itaridhika na kusuka utarud tena na tena na tena!
Mwenyezi mungu aninusuru hili na jengine..
 
Back
Top Bottom