Kusuka kwa Wamasai Basi ....

Kusuka kwa Wamasai Basi ....

Labda wanafanya makusudi, inakuwaje wakuguse kiasa cha wewe kujua/kadria urefu wa madudu yao!!

Kwani hawavai underwear au kaptura au kuyafungia kwenye kibuyu kama wanaume wa Papua NewGuinea!
niseme wamefanya kusudi manake sikuona sababu yakunigusa na hata kama angenigusa basi sio kwa style ile,that was too much..
 
Hili la madudu kugusagusa mbona umelirudia rudia sana?! Yalikuwa yanagusaga wapi kwani?
unanikera ivoo....sijapenda tabia yao kwahisani yako usinukumbushe sana...
 
We nawe, waogopa madudu utafikiri katoto ka darasa la pili!! Hebu kasuke rasta za kimasai bhana.
sirudi wala hata njia sipitii staki hata kuwaona sura zao na balaa lao wanaume wazima hawana adabu hata zakuvaa nguo..
 
mmmm shosti Aibu naanzaje kusema maneno hayo? kua madudu yenu yafungeni,tena yanagusaaa marefuuuuuu ptuuuuu!!!
staki hata kukumbuka..
Yalikufedhehesha hayo madudu?au yalikuwa yanakunyegesha?
 
Nadhani kabla hujaruhusiwa ulikuwa unamwona Mr. Wako mnoko... na inawezekana aliyajuwa hayo kabla...

Kuna wakati huwa mnapewa ruhusa ili mkajuwe sababu ya kukatazwa... Mr asingeweza kutamka utaguswa na ‘’madudu‘’maana ungeona huo ni wivu tu
sidhani kama sababau ni hiyo ila yeye hapendi niweke nywele bandia kucha,sijui rangi ya kucha,reason yake
nimemuelewa sana tuu ila nilikua namlazimisha sasa baada ya 10 yrs nikasema atakua amesahau,na pia nadhani amekubali sababau tungekua mimi na yeye peketu nyumbani na nimeomba just 7days halafu nifumue so ametaka kunifurahisha
matokeo yake wamasai wamenikera......lakini nimesoma kitu ndani yake na namshukuru mungu kunifungua macho
sasa najua why alikua anakataa...
 
harufu ningestahmili sababau wao nibinadamu lakini yale madudu kunigusa gusa mie mmmmm,halafu sasa ukisogea huku
liko ukirudi nyuma lipo,pembeni jengine linagusa bega yani it was BAD....
Duu asavali ulikimbia, maana lingeingia je?
 
duh ata mi nisinge himili ile harufu huwaga wawili au 3 sas we 5 duh, alaf hayo madudu yao si unawaambia ukwel tu wayabane yanakuboa??? kuw wazi,.
jamani mbona unanichekesha hadi watu wananishangaa hapa kibaruani, maana wanaona ninacheka tu na PC hahahahahahha jamani mwe! watu mna mambo, ahsante kwa kuitengeneza siku yangu, kwakwakwakwakwa
 
Itakua Mwenge labda.. .
sio Mwenge,sie tulitokea Machinga Complex ilala tujakaja mpaka kituo i think cha Amana hospital kuna sehemu sijui
jumba la CCM lile hata sikuliangalia wanakua nje hao wamasai wengiiiiiiiiii ,sorry sijui kuhafamisha manake hata sifiki sana
Tangu nimeacha kununua chips kwa barafaa mitaa ile sipiti naweza kaaa hata miaka miwili sijafika..
 
Aha, basi nimeshapafahamu maana ata mimi zamani nilikuaga mmasai ila nilikua sisuki watu, si ni pale upande wa kushoto kama unataka Bungoni kuja Sokoni ilala??
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
harufu ningestahmili sababau wao nibinadamu lakini yale madudu kunigusa gusa mie mmmmm,halafu sasa ukisogea huku
liko ukirudi nyuma lipo,pembeni jengine linagusa bega yani it was BAD....
Ahahahahahaaa halafu wanauzaga dawa za zile nguvu....
 
Aha, basi nimeshapafahamu maana ata mimi zamani nilikuaga mmasai ila nilikua sisuki watu, si ni pale upande wa kushoto kama unataka Bungoni kuja Sokoni ilala??
khaswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!... Zamani ulikuaa Mmasai na sasaivi umekuanani yailahi toba?
 
Ahahahahahaaa halafu wanauzaga dawa za zile nguvu....
Hata nimeangalia mwenzanguu nimeshuka ndani ya gari moja kwa moja nikaka pale kwenye kibaraza chao wao wakaja
na vistuli vyao wakaniziba nilikua sioni hat akunauzwa nini na ipo sehemu gani full vishuka na harufu ya jasho na joto basi tafrani roho yangu pakuiweka nilikua sina...
 
niseme wamefanya kusudi manake sikuona sababu yakunigusa na hata kama angenigusa basi sio kwa style ile,that was too much..

As I said, that was deliberate move - actually nafikiri kuna baadhi ya kina mama wanao pedelea kuguswa guswa na madudu hayo wakati wanasukwa - mambo ya "kisaikolojia" hayo - sioni sababu nyingine ya wamasai hao ku-behave kivile walisha wasoma some weakness za baadhi ya akina mama ndio maana wanakuwa na ubavu wa kuendelea na tabia hiyo.

Siku moja mama fulani aliwahi kunipa kisa kimoja, alisema kuna Mmasai fulani katika mazungumzo aliwahi kumwambia kwamba unajua ni rahisi sana mwanamke kujikuta yuko chini na asijue kilicho mtokea mpaka akajikuta katika hali ile, mama yule akasema nilimbishia mwishowe Mmasai akamwambia njoo usimame karibu na mimi - kule kumkaribia tu akajikuta yuko chini!! Anasema akumbuki vizuri kama alimgusa kwa mkono au mguu - hapa nazungumzia kisa, nataka nieleweke kwamba Wamasai hawana tabia za kijinga za kuwabaka wanawake au nini sijui, wanatumia mbinu tu.
 
Back
Top Bottom