Kusuka kwa Wamasai Basi ....


Lakini hiyo nitabia mbaya wanachukua advantage na sio kila mtu atapenda,yani ile siku sijui ilikuwaje sababu kama kuna kitu
sipendi ni mwanamme kunigusagusa,kwanza sikua na amani pili walivyokua wanasogea sogea ndio wakanichefua kabisaaa
lakini nikosa langu,ningekataa mwanzo non of this ingetokea lakini nimesoma na sitorejea tena kufanya vile..
 


Umenichekesha kukimbia Dudu mwaya ila wewe bila Shaka hautoki nje kabisa maana Kwa mkazi wa dar tena mwanamama hadi Leo usijue Kama wamasai ndio wasusi basi wewe unajifungia ndani miaka yote pili wamasai wanavaa vikoi bila Shaka pia wewe Sio mtanzania

Pole na kuguswa na madudu Yao ila nasikia ni the best Dudu kupita makabila yote tanzania ahahahhhah hahahahahh
 

Nilikwambia kuhusu suala la sakolojia, fanya psychoanalysis ya majibu ya WHITEHORSE what does that tell you about her/his persona? Mark you simsemi kwa nia mbaya hapa tunaelimishana tu. Wenda ikawa alikuwa anatania au nini sijui - lakini ndio hivyo tena - now you know why Wamasai wasusi behaves theway they DO wana washabeki ndio maana.
 
Inshallah...
 
Aha, basi nimeshapafahamu maana ata mimi zamani nilikuaga mmasai ila nilikua sisuki watu, si ni pale upande wa kushoto kama unataka Bungoni kuja Sokoni ilala??
hahaha mdau na ww ulikuaga masai sasa kama ulikua usuki watu ulikua unafanya kazi gani y
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


hatari sana
 
Ungeyapiga picha kwa siri uje utuoneshe
 
Labda wanafanya makusudi, inakuwaje wakuguse kiasa cha wewe kujua/kadria urefu wa madudu yao!!

Kwani hawavai underwear au kaptura au kuyafungia kwenye kibuyu kama wanaume wa Papua NewGuinea!
Hapa mwenyewe najiuliza... Alikaa mkao upi akisukwa mpaka ivyo vi dudu vimguse guse... Maana mpaka kuitwa vidudu ni vingi basi vilimsonga!
 
yan wew pale vlivyotoka na simu unawarudia na spray yako ya 5000, unawapulizia kama unaua mbu na rungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…