Kususwa kwa Salaam za Rais jana uwanja wa Mkapa ni kiashiria kibaya sana

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,923
Reaction score
4,594
Pamoja na jitahada za KM Msigwa kutaka wananchi wajibu Salaam za Mheshimiwa Rais kwa Vibe. Uwanja ulikuwa kimya. Hizi ni Salaam na ndio hali halisi mtaani. Sio sokoni, vyuoni wala kwenye nyumba za ibada.

Watu wengi wanaona hakuna uchaguzi ila kiini macho. Ila kwa kuwa yeye anataka tu atangazwe basi, naona hasikii la kuambiwa wala la kuelezwa.

Tusemezane tu ukweli. Mama hapendwi mnooo.
 
Yanga watakuwa staged
 
Binafsi huku nilipo napo nilikuwa kwenye kibanda umiza chenye hadhi fulani hivi, watu tulikuwa tumebanana zaidi ya mia nne tukiangalia simba day from Mkapa stadium. Mh: alipopiga simu hakukuwepo na shangwe bali ni zomea zomea tu!
 
Mama anahitaji maadui zaidi Ili afanikiwe zaidi.......ni kawaida binadamu kukutenda vibaya pale unapowatendea wema. Hakuna kipindi michezo imepiga hatua kama kipindi hiki Cha mama, usipokubali hadharani basi hata chumbani ukiwa umefunikwa blanketi na mumeo utakubali kimya kimya. Wana Simba wengi Wana hisia kuwa kipigo Cha mwisho (Tano) walichopewa na Yanga kimetokana na shinikizo la Raisi la kuwataka wasigomee mechi (wao walishapanga kukimbia kwa mara ya pili) hivyo hawana hisia nzuri na Mama......to hell with them anyway!! Hawajui walitwndalo.

Tupo tunaompenda Mama Samia Suluhu Hassan na Oktoba tunaenda kutiki mapemaaaaa, asiyempenda anaweza kuwahi Nepal akasimike uongozi anaoutaka maana huko ndo wanaanza Sasa. Nina Imani Yanga, ikiwa klabu kubwa kabisa hapa nchini na yenye wanachama wengi zaidi wanaokaribiana na wapiga kura, WATAAMSHA SHANGWE SI LA KITOTO kwa mama Samia.
Ombi langu kuu kwa mama Samia ni kuwalipa maendeleo ya Kasi kabisa katika kipindi Chake Cha pili kinachoanza Oktoba baada ya ushindi wa 99% anaoenda kuupata.
 
Ni swala tu la kutenganisha michezo na siasa. Simba wametenganisha michezo na siasa.
Na itakuwa ni upendeleo wakati Uchaguzi unaendelea Simba wamshabikie mtu yeyote.
Halafu Mo Dewji alikamatwa na watu wasiojulikana..........
 
Swala✖, suala✔
 
Pamoja na jitahada za KM Msigwa kutaka wananchi wajibu Salaam za Mheshimiwa Rais kwa Vibe. Uwanja ulikuwa kimya. Hizi ni Salaam na ndio hali halisi mtaani. Sio sokoni, vyuoni wala kwenye nyumba za ibada.

Watu wengi wanaona hakuna uchaguzi ila kiini macho. Ila kwa kuwa yeye anataka tu atangazwe basi, naona hasikii la kuambiwa wala la kuelezwa.

Tusemezane tu ukweli. Mama hapendwi mnooo.
Salamu ya mjalaana wa bakwata

View: https://www.instagram.com/reel/DObbMeuDAEL/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
 
Yanga na CCM ni kama chupi na matako
Mama anahitaji maadui zaidi Ili afanikiwe zaidi.......ni kawaida binadamu kukutenda vibaya pale unapowatendea wema. Hakuna kipindi michezo imepiga hatua kama kipindi hiki Cha mama, usipokubali hadharani basi hata chumbani ukiwa umefunikwa blanketi na mumeo utakubali kimya kimya. Wana Simba wengi Wana hisia kuwa kipigo Cha mwisho (Tano) walichopewa na Yanga kimetokana na shinikizo la Raisi la kuwataka wasigomee mechi (wao walishapanga kukimbia kwa mara ya pili) hivyo hawana hisia nzuri na Mama......to hell with them anyway!! Hawajui walitwndalo.

Tupo tunaompenda Mama Samia Suluhu Hassan na Oktoba tunaenda kutiki mapemaaaaa, asiyempenda anaweza kuwahi Nepal akasimike uongozi anaoutaka maana huko ndo wanaanza Sasa. Nina Imani Yanga, ikiwa klabu kubwa kabisa hapa nchini na yenye wanachama wengi zaidi wanaokaribiana na wapiga kura, WATAAMSHA SHANGWE SI LA KITOTO kwa mama Samia.
Ombi langu kuu kwa mama Samia ni kuwalipa maendeleo ya Kasi kabisa katika kipindi Chake Cha pili kinachoanza Oktoba baada ya ushindi wa 99% anaoenda kuupata.
Hivi huoni aibu?
 
Wananchi washaichoka CCM vibaya mno. Sasa washaanza kampeni ya kuingiza vijana wao uwanjani ili kesho yule kiherehere apige simu tena...
 
Back
Top Bottom