Kususwa kwa Salaam za Rais jana uwanja wa Mkapa ni kiashiria kibaya sana

Pamoja na jitahada za KM Msigwa kutaka wananchi wajibu Salaam za Mheshimiwa Rais kwa Vibe. Uwanja ulikuwa kimya. Hizi ni Salaam na ndio hali halisi mtaani. Sio sokoni, vyuoni wala kwenye nyumba za ibada.

Watu wengi wanaona hakuna uchaguzi ila kiini macho. Ila kwa kuwa yeye anataka tu atangazwe basi, naona hasikii la kuambiwa wala la kuelezwa.

Tusemezane tu ukweli. Mama hapendwi mnooo.

Attachments

  • images-17 (1) (1).jpg
    images-17 (1) (1).jpg
    50.5 KB · Views: 20
  • images-14 (2) (1).jpg
    images-14 (2) (1).jpg
    69.6 KB · Views: 18
  • images-14.jpg
    images-14.jpg
    80.6 KB · Views: 18
  • images-13.jpg
    images-13.jpg
    110.4 KB · Views: 21
..Mama Abduli analazimisha kampeni kupita kiasi.

..mikutano ya kampeni inatosha sio sahihi kuingilia shughuli za michezo.
 
Huyu mama alijipa nuksi baada ya kubeza kifo cha ally kibao kwenye camera kwa kusema kifo ni kifo tu,tangu pale watanzania walimuona ni mama katili
 
Mama anahitaji maadui zaidi Ili afanikiwe zaidi.......ni kawaida binadamu kukutenda vibaya pale unapowatendea wema. Hakuna kipindi michezo imepiga hatua kama kipindi hiki Cha mama, usipokubali hadharani basi hata chumbani ukiwa umefunikwa blanketi na mumeo utakubali kimya kimya. Wana Simba wengi Wana hisia kuwa kipigo Cha mwisho (Tano) walichopewa na Yanga kimetokana na shinikizo la Raisi la kuwataka wasigomee mechi (wao walishapanga kukimbia kwa mara ya pili) hivyo hawana hisia nzuri na Mama......to hell with them anyway!! Hawajui walitwndalo.

Tupo tunaompenda Mama Samia Suluhu Hassan na Oktoba tunaenda kutiki mapemaaaaa, asiyempenda anaweza kuwahi Nepal akasimike uongozi anaoutaka maana huko ndo wanaanza Sasa. Nina Imani Yanga, ikiwa klabu kubwa kabisa hapa nchini na yenye wanachama wengi zaidi wanaokaribiana na wapiga kura, WATAAMSHA SHANGWE SI LA KITOTO kwa mama Samia.
Ombi langu kuu kwa mama Samia ni kuwalipa maendeleo ya Kasi kabisa katika kipindi Chake Cha pili kinachoanza Oktoba baada ya ushindi wa 99% anaoenda kuupata.
Hizi timu wangeziacha hata magoli ya Mama angeachana nayo Simba na Yanga zibaki timu za mpira tu. Hizi timu ndo zimebaki kukutanisha watu wote bila kujali itikadi za vyama vyao.
 
Mama anahitaji maadui zaidi Ili afanikiwe zaidi.......ni kawaida binadamu kukutenda vibaya pale unapowatendea wema. Hakuna kipindi michezo imepiga hatua kama kipindi hiki Cha mama, usipokubali hadharani basi hata chumbani ukiwa umefunikwa blanketi na mumeo utakubali kimya kimya. Wana Simba wengi Wana hisia kuwa kipigo Cha mwisho (Tano) walichopewa na Yanga kimetokana na shinikizo la Raisi la kuwataka wasigomee mechi (wao walishapanga kukimbia kwa mara ya pili) hivyo hawana hisia nzuri na Mama......to hell with them anyway!! Hawajui walitwndalo.

Tupo tunaompenda Mama Samia Suluhu Hassan na Oktoba tunaenda kutiki mapemaaaaa, asiyempenda anaweza kuwahi Nepal akasimike uongozi anaoutaka maana huko ndo wanaanza Sasa. Nina Imani Yanga, ikiwa klabu kubwa kabisa hapa nchini na yenye wanachama wengi zaidi wanaokaribiana na wapiga kura, WATAAMSHA SHANGWE SI LA KITOTO kwa mama Samia.
Ombi langu kuu kwa mama Samia ni kuwalipa maendeleo ya Kasi kabisa katika kipindi Chake Cha pili kinachoanza Oktoba baada ya ushindi wa 99% anaoenda kuupata.
Pumbaa tupu
 
Back
Top Bottom