Yanga watakuwa stagedPamoja na jitahada za KM Msigwa kutaka wananchi wajibu Salaam za Mheshimiwa Rais kwa Vibe. Uwanja ulikuwa kimya. Hizi ni Salaam na ndio hali halisi mtaani. Sio sokoni, vyuoni wala kwenye nyumba za ibada.
Watu wengi wanaona hakuna uchaguzi ila kiini macho. Ila kwa kuwa yeye anataka tu atangazwe basi, naona hasikii la kuambiwa wala la kuelezwa.
Tusemezane tu ukweli. Mama hapendwi mnooo.
Tusemezane tu ukweli. Mama hapendwi mnooo.
Swala✖, suala✔Ni swala tu la kutenganisha michezo na siasa. Simba wametenganisha michezo na siasa.
Na itakuwa ni upendeleo wakati Uchaguzi unaendelea Simba wamshabikie mtu yeyote.
Halafu Mo Dewji alikamatwa na watu wasiojulikana..........
Tutawashtaki CAFYanga watakuwa staged
Salamu ya mjalaana wa bakwataPamoja na jitahada za KM Msigwa kutaka wananchi wajibu Salaam za Mheshimiwa Rais kwa Vibe. Uwanja ulikuwa kimya. Hizi ni Salaam na ndio hali halisi mtaani. Sio sokoni, vyuoni wala kwenye nyumba za ibada.
Watu wengi wanaona hakuna uchaguzi ila kiini macho. Ila kwa kuwa yeye anataka tu atangazwe basi, naona hasikii la kuambiwa wala la kuelezwa.
Tusemezane tu ukweli. Mama hapendwi mnooo.
Yanga na CCM ni kama chupi na matakoSimba hatutaki shobo,,apeleke salamu zake utopoloni!
Yanga na CCM ni kama chupi na matako
Hivi huoni aibu?Mama anahitaji maadui zaidi Ili afanikiwe zaidi.......ni kawaida binadamu kukutenda vibaya pale unapowatendea wema. Hakuna kipindi michezo imepiga hatua kama kipindi hiki Cha mama, usipokubali hadharani basi hata chumbani ukiwa umefunikwa blanketi na mumeo utakubali kimya kimya. Wana Simba wengi Wana hisia kuwa kipigo Cha mwisho (Tano) walichopewa na Yanga kimetokana na shinikizo la Raisi la kuwataka wasigomee mechi (wao walishapanga kukimbia kwa mara ya pili) hivyo hawana hisia nzuri na Mama......to hell with them anyway!! Hawajui walitwndalo.
Tupo tunaompenda Mama Samia Suluhu Hassan na Oktoba tunaenda kutiki mapemaaaaa, asiyempenda anaweza kuwahi Nepal akasimike uongozi anaoutaka maana huko ndo wanaanza Sasa. Nina Imani Yanga, ikiwa klabu kubwa kabisa hapa nchini na yenye wanachama wengi zaidi wanaokaribiana na wapiga kura, WATAAMSHA SHANGWE SI LA KITOTO kwa mama Samia.
Ombi langu kuu kwa mama Samia ni kuwalipa maendeleo ya Kasi kabisa katika kipindi Chake Cha pili kinachoanza Oktoba baada ya ushindi wa 99% anaoenda kuupata.
Aibu ya nini'?!!!Hivi huoni aibu?