kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Mitaala yetu inafundisha Kiingereza kuanzia elimu ya msingi hadi vyuo vikuu. Kuanzia elimu ya sekondari hadi vyuo vikuu lugha ya kufundishia ni kiingereza tu. Tanzania ina watu wengi (90%) waliopata angalau elimu ya msingi ambao pia katika hali ya kawaida wangepaswa kujua kusoma, kuandika, kuzungumza na kuelewa lugha ya Kiingereza.
Kwani hotuba za wageni zilizotolewa kwa kithungu zinatafuta mkalimani wa kiswahili?, mbali ya kupoteza muda wa kutafsiri tena lakini ni ushahidi rahisi kuwa elimu yetu ina walakini; hatuna walimu bora.
Nani anapinga hili?