kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Maneno mengi, kumbe na wewe upo kusaka chochote kitu kiingie kinywani. ....
Nyooka moja kwa moja , muda mchache
....
Nyooka moja kwa moja , muda mchache
....
Nyumba wanaweka za Kishua tu za bei juuz hakuna za wanafunzi hapo
Mm nimechagua option ya nyumba za 50k kwa mwezi uswahilini, kumbe ndo mana sijaziona hizo nyumba, nikadhani mtandao mbovu 😂
Maneno mengi, kumbe na wewe upo kusaka chochote kitu kiingie kinywani. ....
Nyooka moja kwa moja , muda mchache
....
Uko sahihiKaka hiyo ni app na ni investment, sasa huwezi kuinvest bila kulenga profit. App inafunction free lakini nitakapoiweka playstore itaanza kutengeneza chochote kitu. Kwani mwenzangu shughuli zako zote unatoa msaada tu kwa 100%?
Ipo mingi sema wewe unaish postaSijawah kuona milango ya aina hiyo, mbaya zaidi kwenye ofisi ya mtu.
Au mm ndo mshamba?
Kaka hiyo ni app na ni investment, sasa huwezi kuinvest bila kulenga profit. App inafunction free lakini nitakapoiweka playstore itaanza kutengeneza chochote kitu. Kwani mwenzangu shughuli zako zote unatoa msaada tu kwa 100%?
Kwamba kuna mtu anatafuta chumba afu hapo hapo hana pesa?Kama hauna hela kupata chumba kweli ni kazi,,,
Sijaona kitu mzeeZipo mbona