Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbegu ya kike husafiri haraka kuliko ya kiume na hukaa masaa 36 lakin ya kiume husafiri taratibu na hukaa masaa 72 kwa hiyo ukitaka kupata mtoto wa kiume mwanaume anatakiwa amwage mbegu baada ya masaa 36 baada tu ya yai kuwa limekuja kwenye fertilization tube .Kama mwanamke mzunguko wake wa hedhi upo constant maana yake ni siku ya 14 tangu siku mp ya kwanza imetoka
Please anybody who believes from the heart that there are profits/benefits for us THE PEOPLE in this East African Federation thing, please use this place to convince me, I badly need to take this in, as it is here, with us, I need to, I have to know it, (not the political side only).
THANK YOU FOR YOUR TUITION!!!
Mbegu ya kike husafiri haraka kuliko ya kiume na hukaa masaa 36 lakin ya kiume husafiri taratibu na hukaa masaa 72 kwa hiyo ukitaka kupata mtoto wa kiume mwanaume anatakiwa amwage mbegu baada ya masaa 36 baada tu ya yai kuwa limekuja kwenye fertilization tube .Kama mwanamke mzunguko wake wa hedhi upo constant maana yake ni siku ya 14 tangu siku mp ya kwanza imetoka
Mbegu ya kike husafiri haraka kuliko ya kiume na hukaa masaa 36 lakin ya kiume husafiri taratibu na hukaa masaa 72 kwa hiyo ukitaka kupata mtoto wa kiume mwanaume anatakiwa amwage mbegu baada ya masaa 36 baada tu ya yai kuwa limekuja kwenye fertilization tube .Kama mwanamke mzunguko wake wa hedhi upo constant maana yake ni siku ya 14 tangu siku mp ya kwanza imetoka
Hata mimi naamechanganya madesa... anyway, mkuu Eli79 kama una idea labda na wewe unaweza kusaidia kidogo! Kwa ninavyofahamu mimi... issue kuhusu mbegu za kutotoa mtoto wa kike au wa kiume ni kwamba, zile za wa kike (XX), in nutty shell hazina uwezo wa ku-survive muda mrefu ukilinganisha na zile kwa ajili ya mtoto wa kiume (XY)... wakati za kike zina uwezo ku-survive a maximum of 36 hours zile za kiume zinafika hadi 72 hours! Sasa basi, unachofanya ni kupiga timing ya kufa mtu... all in all, game of chance! Kwamba, ukiwa mahesabu yenu yanaonesha tarehe 15 ndio the most possible day kwa mwanamke kubeba ujauzito, basi mnapiga mechi iliyopata maandalizi ya kutosha tarehe 11. Ideal, ni kwamba, mkipiga mechi iliyofanyiwa maandalizi tarehe 11, ni kwamba hadi tarehe 14 (after 36 hours) mbegu zote za kike (XX) zitakuwa zimekufa na kubaki za kiume (XY) zinaendelea kutapatapa kutafuta yai ambalo limeshapevuka. Sasa ikiwa yai ni kweli litapevuka tarehe 15, situation itatokea wakati mbegu za kike zimeshakufa na kutoa chance kwa mbegu za XY peke yake kupenya kwenye yai lililopevuka!!Nahisi umechanganya madesa sehemu..anyways ngoja wengine watoe ujuzi wao..!
Hii ipo straight:Mmmh,ht cjaelewa vizuri ila hili swali ni la mcngi
Hii ipo straight:
Have sex as close to ovulation as possible. When the woman is sure that she is ovulating, the couple should have sex. In general, aim to have sex in the narrow window starting 24 hours before ovulation and ending 12 hours after ovulation. During this time, according to the Shettles Method, conceiving a boy is more likely.
The Shettles Method operates under the assumption that, under perfect conditions, male sperm, which are small and fast, but fragile, can reach the egg faster than female sperm which are large and slow, but strong. According to the Shettles Method, the reason that additional children are conceived in a 50:50 ratio normally is that some fragile male sperm die in the birth canal. By having sex as close to ovulation as possible, you ensure that sperm can reach the egg basically immediately, rather than having to wait, which (allegedly) ensures as many male sperm remain alive as possible....
JE, IMEELEWEKA?
Source: 3 Ways to Raise the Chances of Having a Boy - wikiHow
Duh watu wanachanganya tu madesa,okay kuna mbegu X na Y kwa mwanaume,Mwanamke ana X only so mwanaume ndie mwenye kusababisha mtoto awe wa kike au wa kiume.Mbegu X iko slow sema inakaa muda mrefu 36hrs na megu Y ina speed sema inakaa 24hrs,ili upate mtoto wa kiume inabidi uhakikishe mbegu y inakutana na mbegu x ya mama hivyo kwa kutumia advantage ya speed ya Y siku ya 14 toka mama aanze period ndio siku ya kupata mtoto wa kiume na hata kwa siku ya 15 ni sawa ila nyuma ya siku ya 14 utapata wa kike maana mama akija toa mbegu yake X itakuta kuna X ya baba Y itakua imekufa maana inaspeed na short life cycle .
NB:wiki ya kujiandaa jitahidi upate balanced diet ili uwe na mbegu zenye nguvu na nzima zote kumbuka mtoto uanza siku ya kuunganisha mayai pia ni vyema mumuombe Mungu awape mtoto mwema
Mkuu Eli79 wewe ni mchungaji au nurse? manake naona unajua jinsi ya ku-handle wagonjwa unaposema maelezo yangu ya sasa yapo straight zaidi ya yale ya mwanzo... in short, yale ya mwanzo nili-shoot off-target kabisa...hahahaaaa!!! Hiyo option uliyoisema ni sahihi kabisa...Kiongozi, nazdaz haya maelezo yapp straight zaidi ya yale uliyitoa mwanzo.
Ninachofahamu, ukitaka kidume basi fanya mapenzi karibia kabisa na ovulation day. Kama mdada ana ovulate 14th day basi mfanye mapenzi around 13-14th day. Sababu ni kuwa mbegu za kiume ziko faster than mbegu za kike kwa hiyo zitakuwa za kwanza kufika na kupevusha yai, lakini ziko fragile na hivyo hufa haraka.
Maana nyingine ukifanya mapenzi siku tatu kabla ya ovulation una chances za kupata kijike, mbegu za kike zipo slow lakini zinasurvive mda mrefu, hivyo kama mtu anahitaji kijike, awahi kufanya mapenzi na kwa njia hiyo zile za kiume zitakufa mapema na za kike zitasubiri yai lipevuke na kulirutubisha.
Correct me if I'm wrong!!
Mkuu Eli79 wewe ni mchungaji au nurse? manake naona unajua jinsi ya ku-handle wagonjwa unaposema maelezo yangu ya sasa yapo straight zaidi ya yale ya mwanzo... in short, yale ya mwanzo nili-shoot off-target kabisa...hahahaaaa!!! Hiyo option uliyoisema ni sahihi kabisa...
bullshitMwombe mungu atakupa unayemtaka na akikupa tofauti ana sababu ya msingi ambayo baada ya miaka 3o ya huyo aliyekupa ataanza iona nina mifano hai kama 13
Pamoja wangu!!Mkuu NasDaz mie ni "midwife" hahahaaa! Pamoja kiongozi!!