Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

Wataalamu wa kimanzichana wanasema kuwa kupata jinsia ya mtoto unayemtaka inategemea na style ya mwisho uliyomuweka mkeo wakati wa kulima shamba.........
 
Kupata mtoto ni majaliwa ya MUNGU lakini kuzaa wa kiume ni baraka kutoka kwa MUNGU.....
 
Tumeendelea sana, tunaweza kuamua kwenye shina la mpunga tupande mchungwa,
 
Kiongozi, nazdaz haya maelezo yapp straight zaidi ya yale uliyitoa mwanzo.
Ninachofahamu, ukitaka kidume basi fanya mapenzi karibia kabisa na ovulation day. Kama mdada ana ovulate 14th day basi mfanye mapenzi around 13-14th day. Sababu ni kuwa mbegu za kiume ziko faster than mbegu za kike kwa hiyo zitakuwa za kwanza kufika na kupevusha yai, lakini ziko fragile na hivyo hufa haraka.
Maana nyingine ukifanya mapenzi siku tatu kabla ya ovulation una chances za kupata kijike, mbegu za kike zipo slow lakini zinasurvive mda mrefu, hivyo kama mtu anahitaji kijike, awahi kufanya mapenzi na kwa njia hiyo zile za kiume zitakufa mapema na za kike zitasubiri yai lipevuke na kulirutubisha.
Correct me if I'm wrong!!

Mkuu angalizo kidogo

Hii habari ya siku ya 14 si inategemea na mzungoko wa mwanamke? Hapo umefanya assumption ya mzunguko wa siku 28
 
Last edited by a moderator:
Mkuu angalizo kidogo

Hii habari ya siku ya 14 si inategemea na mzungoko wa mwanamke? Hapo umefanya assumption ya mzunguko wa siku 28


Ndio kiongozi, kama mzunguko wa mdada ni 30 basi siku ya 15. Au we una ufaham gani katika hili?
 
Ndio kiongozi, kama mzunguko wa mdada ni 30 basi siku ya 15. Au we una ufaham gani katika hili?

Nilikuwa nataka kuhakiki tu mkuu ili niwe sawia zaidi baada ya maelezo yako ya kina na murua kabisa
 
Ndio kiongozi, kama mzunguko wa mdada ni 30 basi siku ya 15. Au we una ufaham gani katika hili?

Vipi kuhusu yai la mwanamke huwa linakaa kwa muda gani kabla halijafa?

Na huwa linatengenezwa moja tu au kila ovary(ya kulia na kushoto) inatengeneza yai lake ?
 
Vipi kuhusu yai la mwanamke huwa linakaa kwa muda gani kabla halijafa?

Na huwa linatengenezwa moja tu au kila ovary(ya kulia na kushoto) inatengeneza yai lake ?

xfactor, kwa uelewa wangu ni hivi;
Kwanza kabisa tujue kuwa wanawake wanazaliwa na mayai tayari, yanasubiri tu mtoto akue, apevuke nayo yaanze kupevuka moja moja. Tofauti na sie vidume ambao sperms zinazalishwa kila siku, kwa mamilioni.
Pili yai linapopevuka huenda kwenye mfuko wa uzazi kupitia fallopian tube ili kusubiri kurutubishwa( kama tulivyosema hapo juu) na lisipopevushwa, kwa maana kuwa mwanamke asipolala na kidume basi lile yai halitarutubishwa na hivyo litaharibika. Sasa linaharibika lini? Sina jibu la uhakika ila ninachojua hedhi ikianza ndio limepasuka na damu hutoka(hedhi)...
Kila ovary hutoa yai moja kwa kupokezana( kwa mdada mwenye mzunguko wa kawaida), manake ni kuwa left ovary ikizalisha yai mwezi huu, right ovary inazalisha mwezi ujao. Wanawake huwa wanazalisha mayai kwa average ya miaka 30-35 hadi kufikia menopause. Hivyo kama kwa mwaka mmoja anazalisha mayai 12 basi katika maisha yake yote anazalisha wastani wa mayai 400...! Hayo mengine yanayobakia baada ya kufikia menopause yanabaki mwilini na hayapevuki tena coz hormones(vichocheo) havifanyi kazi tena.
Huu ni uelewa wangu kiongozi..!
 
Last edited by a moderator:
Habar wadau!
Et ni jinsi gan mtu anaweza kuamua kuzaa mtoto wa kiume au wa kike?
 
Habaru zenu wana Jf,

Nisaidieni ndugu zangu,

Nifanyaje ili nipate mtoto wa kiume kwasababu ninawatoto wa kike tu.

Naombeni msaada
 
Back
Top Bottom