KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Jamani zaeni na wa kike.......mkiwa wa kiume wote dunia itakuwaje hii......???.......fikirieni na hilo pia........
Leo upo wapi?
Kiongozi, nazdaz haya maelezo yapp straight zaidi ya yale uliyitoa mwanzo.
Ninachofahamu, ukitaka kidume basi fanya mapenzi karibia kabisa na ovulation day. Kama mdada ana ovulate 14th day basi mfanye mapenzi around 13-14th day. Sababu ni kuwa mbegu za kiume ziko faster than mbegu za kike kwa hiyo zitakuwa za kwanza kufika na kupevusha yai, lakini ziko fragile na hivyo hufa haraka.
Maana nyingine ukifanya mapenzi siku tatu kabla ya ovulation una chances za kupata kijike, mbegu za kike zipo slow lakini zinasurvive mda mrefu, hivyo kama mtu anahitaji kijike, awahi kufanya mapenzi na kwa njia hiyo zile za kiume zitakufa mapema na za kike zitasubiri yai lipevuke na kulirutubisha.
Correct me if I'm wrong!!
Mkuu angalizo kidogo
Hii habari ya siku ya 14 si inategemea na mzungoko wa mwanamke? Hapo umefanya assumption ya mzunguko wa siku 28
Ndio kiongozi, kama mzunguko wa mdada ni 30 basi siku ya 15. Au we una ufaham gani katika hili?
Ndio kiongozi, kama mzunguko wa mdada ni 30 basi siku ya 15. Au we una ufaham gani katika hili?
Vipi kuhusu yai la mwanamke huwa linakaa kwa muda gani kabla halijafa?
Na huwa linatengenezwa moja tu au kila ovary(ya kulia na kushoto) inatengeneza yai lake ?
umekosea kinyamaaa... Kafungue tena biological science
Kupata mtoto ni majaliwa ya MUNGU lakini kuzaa wa kiume ni baraka kutoka kwa MUNGU.....
Leo nipo Yaeda mkuu wangu........kuna jua balaa.......
Leo yupo kilinikiNa leo je?