Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

kula mboga za majani kwa wingi na kutana na mkeo siku ya ovulation pia hakikisha kuna deep penetration
 
kula mboga za majani kwa wingi na kutana na mkeo siku ya ovulation pia hakikisha kuna deep penetration
 
You're more likely to conceive a boy if... You have sex on the day of ovulation, as male sperm are thought to swim faster and reach the egg first. You reach orgasm before your partner, as this releases an alkaline fluid, thought to be more male-sperm friendly than the vagina's natural acidity.

Kwahiyo wanaume wanaopata watoto wa kiume asilimia kubwa hawawafikishi wake zao kileleni?
 
Kwahiyo wanaume wanaopata watoto wa kiume asilimia kubwa hawawafikishi wake zao kileleni?

na mimi nimeelewa hvyo.na nilisha wahi kusikia kuwa kama ktk siku hyo mwanamke akiwahi ku fika keleleni inapelekea kutoa ute ambao unakuwa na acid hvyo kusababisha mbegu za kiume kufa
 
You're more likely to conceive a boy if... You have sex on the day of ovulation, as male sperm are thought to swim faster and reach the egg first. You reach orgasm before your partner, as this releases an alkaline fluid, thought to be more male-sperm friendly than the vagina's natural acidity.

tunaomba ufafanuzi kwa kiswahili
 
uwe unabadilisha staili, sio kila siku kifo cha mende.
 
Je,hako kakifaa ovulation kit kanawekwa wap?Na utajuaje?Maelekezo tafadhari.Maana kupata toto ME nasikia kazi.
 
Hahahah
Hivi mpaka karne hii kuna watu wanadhani waje zao ndio wanazaa wa kike tupu?????

Ndugu mwanaume ndio anayeamua jinsia ya mtoto. Pia timing ya "kufahamiana " nayo inachangia.
Nilikuwa nasubiri kwa hamu comment km hii, ukiona mwanamke anazaa jinsia ya kike tu, problem ni ya mwanaume.
 
na mimi nimeelewa hvyo.na nilisha wahi kusikia kuwa kama ktk siku hyo mwanamke akiwahi ku fika keleleni inapelekea kutoa ute ambao unakuwa na acid hvyo kusababisha mbegu za kiume kufa

Inahitajika proof kisayansi maana kupata mtoto wa kiume ni kazi sana inahitajika sperm za kutosha na kuzirusha kwa speed ya hatari Ila wa kike hata ukimiminia kwa juu anapatikana.

✅Je wanawake wanaozaa mapacha wa kike na wa kiume Hiyo theory yake ita apply kweli?
 
Siku ya kumi na tatu na kumi na nne, rushia vitu na si zaidi ya siku hizo.
 
Inahitajika proof kisayansi maana kupata mtoto wa kiume ni kazi sana inahitajika sperm za kutosha na kuzirusha kwa speed ya hatari Ila wa kike hata ukimiminia kwa juu anapatikana.

✅Je wanawake wanaozaa mapacha wa kike na wa kiume Hiyo theory yake ita apply kweli?

Duuuh!! kweli JF kuna wataalam wa kila aina, nahic wew utakuwa dactar bingwa
 
siku ya 14 na siku ya 15 baada ya heshi ni mtoto wa kiume.
kwa maelezo zaidi ni; Angalia mkeo kaanza mp lini na anaenda siku ngapi na ipo hivi kama siku 4 ni za hedhi basi 5 zifwatazo hapo n free dy alafu siku 9 zifwatazo ni hatari alafu baada ya hapo ni free. Cha msingi zingtieni siku ya 14 usikuu kuamkia siku ya 15 ikigoma hapo baaasiii. By z way ni wewe mwanaume ndio mwenye mbegu za azaliwe she or he!
 
Msiwe mmelewa, Msiwe na njaa, Msiwe wachovu...... Muwe fresh, hasa kwa mwanaume ili mbegu zake ziwe na nguvu ya kuogelea fasta. Kumbuka mbegu za kiume zinaogelea faster zaidi kuliko za kike

Mwanamke hana mbegu.
 
Mbegu (Sperms) zipo za kike na kiume yaani X na Y. Zile za kiume zinaogelea faster kuliko za kike, japo pia zinakufa fasta kuliko za kiume

Anymore questions?

Nimekuelewa sasa mwanzo sikuelewa " tungo tata"
 
Back
Top Bottom