Kutafuta mchamba wa kike ili naye ndoa

Nazitafuta ndugu, ila mke ni muhimu sana. Haya mambo yalianzishwa na Mungu, ni mema ukijaaliwa kumpata mwenza mwema. Uvumilivu pia ni muhimu.
Kwa uyo mangi alieenda na law unachohitaji ni zaidi ya uvumilivu ,note my words .
 
Muha!!! Utakuwa umeolewa na redio[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Povu rukhusa[emoji23][emoji23]
 
Naroll kwa kucheka na hiyo title ya uzi 😂 😂 😂 😂
 
Duuuh mkuu kwani unaomba mkopo bank au ? Maana sio kwa vigezo hivyo khaa
 
umetoa vigezo vingi halafu ukute nguvu za kiume chache, bao moja chali[emoji23][emoji23]

mashariti mengi utazani mganga wa kienyeji
 
Ongezea na hii, awe bikra.
hahaha, ulataye ingeso muhungu😂😂😂😂😂😂😂😂
 
We jamaa ni mshamba sana.
una kazi ya serikali with all movements zako bado hujaona wa kuchukua namba umtongoze au wewe wao hawajui kazi yako wakushobokee wenyewe hata kazini hujui mashushu ofisini wapo wakukupeleleza umeoa, kazini mashushu watataka wajue unaishi vipi ulipo wakulengeshe mtoto wao.
Yaaani huko kigoma familia haijahangaika kukutengea muha aseee 😅
We jamaaa ni muongo acha kutuchanganya akili sisi watu wazima.
nipe kazi nikutafutie mke unaye mtaka wa ndoto zako.
 
Mtengeneze wako mkuu, hizo sifa kama unataka kumuajiri UNICEF??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Awe mrembo; awe na sura nzuri, kifuani awe na matiti madogo yaliyosimama ambayo hayajalala, miguu mizuri, awe na sauti nzuri, awe na kalio kubwa zuri la kimahaba maana sitaki kuchepuka au kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwingine zaidi yake yeye.
[emoji830]︎Awe na tabia njema sana na asiwe na dharau
(Mfano akiwa anapiga magoti akiwa anampa mtu kitu, kukaribisha chakula n.k ninaweza kutoa mahari siku hiyo hiyo [emoji2][emoji2])
[emoji830]︎Asiwe na mtoto wala watoto[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
NAKUOMBEA SANA!
 
😁😁😁Kwa hivi vigezo vyake, basi huyu jamaa atafanikiwa labda kupata MCHAMBA! Ila siyo MCHUMBA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…