Kutafuta mchamba wa kike ili naye ndoa

Kutafuta mchamba wa kike ili naye ndoa

Nazitafuta ndugu, ila mke ni muhimu sana. Haya mambo yalianzishwa na Mungu, ni mema ukijaaliwa kumpata mwenza mwema. Uvumilivu pia ni muhimu.
Kwa uyo mangi alieenda na law unachohitaji ni zaidi ya uvumilivu ,note my words .
 
Muha!!! Utakuwa umeolewa na redio[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Povu rukhusa[emoji23][emoji23]
 
Naroll kwa kucheka na hiyo title ya uzi 😂 😂 😂 😂
 
Habarini za maisha ndugu?

Hongera kwa tulio wazima wa afya, pole kwa wanaoumwa na tunamuomba Mwenyezi Mungu awajaalie wapone na kurejea kuwa na afya njema.

Kama kichwa cha uzi kilivyo hapo juu, ndugu zangu mimi Ninatafuta dada awe mchumba wangu ili mwenyezi Mungu akitujaalia nifunge nae ndoa na kuishi maisha ya pamoja na yeye.

Sifa zangu ni hizi hapa :
[emoji830]︎Ni mrefu (Sentimita 172 au futi 5.64)
[emoji830]︎Siyo mnene, siyo mwembamba ni wa wastani
[emoji830]︎rangi ya ngozi ni maji ya kunde
[emoji830]︎kabila ni muha
[emoji830]︎Dini ni mkristo
[emoji830]︎Ninafanya kazi serikalini
[emoji830]︎Ninaishi Dar Es salaam kwa sasa
[emoji830]︎nina heshima na ni mstaarabu kwa watu wote.
[emoji830]︎Sina mtoto wala watoto
[emoji830]︎Umri ni miaka 28 (ntatimiza miaka 29 mwaka huu panapo majaaliwa ya Mungu).
[emoji830]︎ nina afya njema
[emoji830]︎ Elimu yangu ni ya chuo kikuu
[emoji830]︎Sifa nyinginezo

Sifa za dada ninayemtafuta ili awe mchumba wangu kwa sasa, na awe mke wangu kwa baadae mwaka huu huu au kabla mwaka ujao 2022 haujaisha, ni hizi :
■ Awe mrembo; awe na sura nzuri, kifuani awe na matiti madogo yaliyosimama ambayo hayajalala, miguu mizuri, awe na sauti nzuri, awe na kalio kubwa zuri la kimahaba maana sitaki kuchepuka au kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwingine zaidi yake yeye.
[emoji830]︎Awe na tabia njema sana na asiwe na dharau
(Mfano akiwa anapiga magoti akiwa anampa mtu kitu, kukaribisha chakula n.k ninaweza kutoa mahari siku hiyo hiyo [emoji2][emoji2])
[emoji830]︎Asiwe na mtoto wala watoto
[emoji830]︎Awe mcha Mungu (awe mkristo)
[emoji830]︎Awe na afya njema, asiwe na magonjwa kama AIDS, homa ya ini (Hepatitis B), pressure, kisukari, pumu, kifafa, sickle cell anaemia n.k
[emoji830]︎Awe anaishi Dar es salaam kwa sasa.
[emoji830]︎asiwe mnene wala mwembamba sana, awe wa wastani
[emoji830]︎awe na umri kati ya miaka 21 mpaka 25.
[emoji830]︎Asiwe mfupi, awe mrefu (tukilingana, au mimi nikimzidi kidogo itakuwa vyema zaidi)
[emoji830]︎Awe na elimu ya kidato cha nne au zaidi ila asizidi elimu ya stashahada (diploma).
[emoji830]︎Awe mchapa kazi (asiwe mvivu)
[emoji830]︎Awe na sifa nyinginezo nzuri ambazo mke mwema anapaswa kuwa nazo.

Asiwe mchaga, mhaya, mzaramo, muha wala mrangi. Akiwa Mnyaturu, mmasai (ambaye hajakeketwa lakini) na makabila mengineyo itapendeza zaidi.

Ninataka kuoa, kwa dada ambaye yupo 'serious' na kuanzisha mahusiano yatakayopelekea kufunga ndoa, na ambaye ataridhia (kukubali) sifa zangu, na yeye anazo hizo nilizoainisha, mimi ninamkaribisha PM ili tuwasiliane zaidi.

Asanteni, na ninawatakieni maisha mema, Mwenyezi Mungu awe pamoja na na sisi sote, amina.
Duuuh mkuu kwani unaomba mkopo bank au ? Maana sio kwa vigezo hivyo khaa
 
umetoa vigezo vingi halafu ukute nguvu za kiume chache, bao moja chali[emoji23][emoji23]

mashariti mengi utazani mganga wa kienyeji
 
Ongezea na hii, awe bikra.
hahaha, ulataye ingeso muhungu😂😂😂😂😂😂😂😂
 
We jamaa ni mshamba sana.
una kazi ya serikali with all movements zako bado hujaona wa kuchukua namba umtongoze au wewe wao hawajui kazi yako wakushobokee wenyewe hata kazini hujui mashushu ofisini wapo wakukupeleleza umeoa, kazini mashushu watataka wajue unaishi vipi ulipo wakulengeshe mtoto wao.
Yaaani huko kigoma familia haijahangaika kukutengea muha aseee 😅
We jamaaa ni muongo acha kutuchanganya akili sisi watu wazima.
nipe kazi nikutafutie mke unaye mtaka wa ndoto zako.
 
Habarini za maisha ndugu?

Hongera kwa tulio wazima wa afya, pole kwa wanaoumwa na tunamuomba Mwenyezi Mungu awajaalie wapone na kurejea kuwa na afya njema.

Kama kichwa cha uzi kilivyo hapo juu, ndugu zangu mimi Ninatafuta dada awe mchumba wangu ili mwenyezi Mungu akitujaalia nifunge nae ndoa na kuishi maisha ya pamoja na yeye.

Sifa zangu ni hizi hapa :
[emoji830]︎Ni mrefu (Sentimita 172 au futi 5.64)
[emoji830]︎Siyo mnene, siyo mwembamba ni wa wastani
[emoji830]︎rangi ya ngozi ni maji ya kunde
[emoji830]︎kabila ni muha
[emoji830]︎Dini ni mkristo
[emoji830]︎Ninafanya kazi serikalini
[emoji830]︎Ninaishi Dar Es salaam kwa sasa
[emoji830]︎nina heshima na ni mstaarabu kwa watu wote.
[emoji830]︎Sina mtoto wala watoto
[emoji830]︎Umri ni miaka 28 (ntatimiza miaka 29 mwaka huu panapo majaaliwa ya Mungu).
[emoji830]︎ nina afya njema
[emoji830]︎ Elimu yangu ni ya chuo kikuu
[emoji830]︎Sifa nyinginezo

Sifa za dada ninayemtafuta ili awe mchumba wangu kwa sasa, na awe mke wangu kwa baadae mwaka huu huu au kabla mwaka ujao 2022 haujaisha, ni hizi :
■ Awe mrembo; awe na sura nzuri, kifuani awe na matiti madogo yaliyosimama ambayo hayajalala, miguu mizuri, awe na sauti nzuri, awe na kalio kubwa zuri la kimahaba maana sitaki kuchepuka au kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwingine zaidi yake yeye.
[emoji830]︎Awe na tabia njema sana na asiwe na dharau
(Mfano akiwa anapiga magoti akiwa anampa mtu kitu, kukaribisha chakula n.k ninaweza kutoa mahari siku hiyo hiyo [emoji2][emoji2])
[emoji830]︎Asiwe na mtoto wala watoto
[emoji830]︎Awe mcha Mungu (awe mkristo)
[emoji830]︎Awe na afya njema, asiwe na magonjwa kama AIDS, homa ya ini (Hepatitis B), pressure, kisukari, pumu, kifafa, sickle cell anaemia n.k
[emoji830]︎Awe anaishi Dar es salaam kwa sasa.
[emoji830]︎asiwe mnene wala mwembamba sana, awe wa wastani
[emoji830]︎awe na umri kati ya miaka 21 mpaka 25.
[emoji830]︎Asiwe mfupi, awe mrefu (tukilingana, au mimi nikimzidi kidogo itakuwa vyema zaidi)
[emoji830]︎Awe na elimu ya kidato cha nne au zaidi ila asizidi elimu ya stashahada (diploma).
[emoji830]︎Awe mchapa kazi (asiwe mvivu)
[emoji830]︎Awe na sifa nyinginezo nzuri ambazo mke mwema anapaswa kuwa nazo.

Asiwe mchaga, mhaya, mzaramo, muha wala mrangi. Akiwa Mnyaturu, mmasai (ambaye hajakeketwa lakini) na makabila mengineyo itapendeza zaidi.

Ninataka kuoa, kwa dada ambaye yupo 'serious' na kuanzisha mahusiano yatakayopelekea kufunga ndoa, na ambaye ataridhia (kukubali) sifa zangu, na yeye anazo hizo nilizoainisha, mimi ninamkaribisha PM ili tuwasiliane zaidi.

Asanteni, na ninawatakieni maisha mema, Mwenyezi Mungu awe pamoja na na sisi sote, amina.
Mtengeneze wako mkuu, hizo sifa kama unataka kumuajiri UNICEF??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Awe mrembo; awe na sura nzuri, kifuani awe na matiti madogo yaliyosimama ambayo hayajalala, miguu mizuri, awe na sauti nzuri, awe na kalio kubwa zuri la kimahaba maana sitaki kuchepuka au kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwingine zaidi yake yeye.
[emoji830]︎Awe na tabia njema sana na asiwe na dharau
(Mfano akiwa anapiga magoti akiwa anampa mtu kitu, kukaribisha chakula n.k ninaweza kutoa mahari siku hiyo hiyo [emoji2][emoji2])
[emoji830]︎Asiwe na mtoto wala watoto[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
NAKUOMBEA SANA!
 
😁😁😁Kwa hivi vigezo vyake, basi huyu jamaa atafanikiwa labda kupata MCHAMBA! Ila siyo MCHUMBA!
 
Back
Top Bottom